Sio kwetu sisi tu, Uislam ndio kweli hata kama watu wengi wa magharibi hawaufuati, na utaenea tu kote watu warudi katika asili yao. Pili, ukristo katika nchi za magharibi ni dhaifu tofauti na miaka iliyopita na unaendelea kudhoofika. Hakuna hata nchi moja ya magharibi utakayoiita ya kikristo kiukweli hivi sasa. Hivyo sio dominant. Tatu wakristo, hata wakipigania kueneza dini yao, hawatofaulu, sababu ukristo sio ukweli na sisi hatulazimishi watu watufuate tunachotaka sisi, hasha! Bali Uislam ndio ukweli, nasi tunalingania kweli hii na ukweli ndio wenye kushinda mwisho wa siku;
Qur-an 17:81
View attachment 2675661
81. Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke!