Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RightMtu yeyote awe muislamu au mkristo au mpagani sikubaliani nae kuchoma kitabu cha dini nyingine huku ni kutafuta chuki zisizo na msingi .
Ndiyo alikwambia hivyo?Mchomaji ni Christian refugee from Iraq
sasa si kachoma kitabu cha Allah ngoja Allah ashughulike nayeAmechoma moto kitabu cha Allah bila sababu za msingi.
Tafuta vyanzo vya habari usisubiri kusimuliwa kila kitu utangizwa chaka.Ndiyo alikwambia hivyo?
Warudi Kwenye moto maana uarabuni ni moto wa jehanamu na dini ni moto masharti yake kuyatimizaView attachment 2673379
Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.
Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo.
Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.
BBC
=====================
Hii inanikumbusha miaka flani msanii wa Ufaransa alichora katuni
Jamaa wakahisi kachorwa "Mo"
Waliwasha moto utafikiri wapo nchini kwao. 😅😅😅😅😅😅 mkiona mnanyanyaswa si mnarudi tu makwenu
Well presented, akili hiyo hawawezi kuwa nayo, ni takataka tu.Watu wana akili na mitazamo ya ile kale chakavu na ya kijima. Yaani Quran ikiandikwa kwenye karatasi na kuwekwa kitabuni halafu ikachanwa eti wanaandamana.
Mbona inavyokuwa unistalled kwenye simu hawaandamani?
Wangepiga marufuku zisiwepo apps za quaran wala zisiandikwe mitandaoni (electronically) sababu huenda watu waka format na hivyo kuwa sawa na kuchana tu.
Hivi upo Milembe au upo wapi? Sasa ubongo kama huu kuwepo duniani ni asset au liability?Serikali ya Sweden walimruhusu jamaa
Unajua maana ya neno utakatifu?shida ni utakatifu wa QURAN.kitabu ambacho hakijawah kuchuja.miaka na miaka.
Na mnataka uislam uenee huko ili iweje vipi na wakristo wakieneza ukristo nchi za mashariki ya kati mtakubali kirahisiNamshukuru Allah kwa neema ya Uislam.
Vitimbi hivyo havitoizuia nuru ya Uislam kuenea katika nchi za magharibi.
hapana sifahamu.nielimisheUnajua maana ya neno utakatifu?
Kwa sababu Uislam ndio dini ya asili. Dini iliyofundishwa na kufuatwa na Mitume yote. Na hakuna dini mbele ya Allah, Muumba wa kila kitu, isipokuwa Uislam. Na anayechagua Dini isiyokuwa ya Uislam haitakubaliwa kwake na akhera atakuwa ni mwenye hasara.Na mnataka uislam uenee huko ili iweje vipi na wakristo wakieneza ukristo nchi za mashariki ya kati mtakubali kirahisi
Hiyo ni kwenu ninyi hilo wakristo haliwahusu, kwao ukristo ndio dini ya asili na nchi nyingi za magharibi ukristo ndio dominant kama ulivyo uislamu kwa nchi za mashariki ya kati, hivyo wakristo nao lazima wapiganie kueneza dini yao kama nanyi mnavyopigania kueneza yenu kwahiyo msilazimishe dunia nzima ifate mnachotaka ninyi tuKwa sababu Uislam ndio dini ya asili. Dini iliyofundishwa na kufuatwa na Mitume yote. Na hakuna dini mbele ya Allah, Muumba wa kila kitu, isipokuwa Uislam. Na anayechagua Dini isiyokuwa ya Uislam haitakubaliwa kwake na akhera atakuwa ni mwenye hasara.
Ukristo sio dini ya asili kutoka kwa Allah, ni dini iliyoundwa tu na watu muda mrefu baada ya Yesu kuondoka, kisha wakamnasibishia nayo.
Dini iliyoanza juzi karne ya 5 haiwezi kiwa dini ya asili ya popote pale.Kwa sababu Uislam ndio dini ya asili. Dini iliyofundishwa na kufuatwa na Mitume yote. Na hakuna dini mbele ya Allah, Muumba wa kila kitu, isipokuwa Uislam. Na anayechagua Dini isiyokuwa ya Uislam haitakubaliwa kwake na akhera atakuwa ni mwenye hasara.
Ukristo sio dini ya asili kutoka kwa Allah, ni dini iliyoundwa tu na watu muda mrefu baada ya Yesu kuondoka, kisha wakamnasibishia nayo.
Sio kwetu sisi tu, Uislam ndio kweli hata kama watu wengi wa magharibi hawaufuati, na utaenea tu kote watu warudi katika asili yao. Pili, ukristo katika nchi za magharibi ni dhaifu tofauti na miaka iliyopita na unaendelea kudhoofika. Hakuna hata nchi moja ya magharibi utakayoiita ya kikristo kiukweli hivi sasa. Hivyo sio dominant. Tatu wakristo, hata wakipigania kueneza dini yao, hawatofaulu, sababu ukristo sio ukweli na sisi hatulazimishi watu watufuate tunachotaka sisi, hasha! Bali Uislam ndio ukweli, nasi tunalingania kweli hii na ukweli ndio wenye kushinda mwisho wa siku;Hiyo ni kwenu ninyi hilo wakristo haliwahusu, kwao ukristo ndio dini ya asili na nchi nyingi za magharibi ukristo ndio dominant kama ulivyo uislamu kwa nchi za mashariki ya kati, hivyo wakristo nao lazima wapiganie kueneza dini yao kama nanyi mnavyopigania kueneza yenu kwahiyo msilazimishe dunia nzima ifate mnachotaka ninyi tu
Wakishashiba biriani wanasema ukichoma Quran unageuka kuwa nguruwe au chizi.