kidonto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 1,961
- 2,918
Umemkuta Mod ni Ostaadh.Aliyechana kitabu ni Mwarabu toka huko Dini ilikotokea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemkuta Mod ni Ostaadh.Aliyechana kitabu ni Mwarabu toka huko Dini ilikotokea!
Watu wana akili na mitazamo ya ile kale chakavu na ya kijima. Yaani Quran ikiandikwa kwenye karatasi na kuwekwa kitabuni halafu ikachanwa eti wanaandamana.
Mbona inavyokuwa unistalled kwenye simu hawaandamani?
Wangepiga marufuku zisiwepo apps za quaran wala zisiandikwe mitandaoni (electronically) sababu huenda watu waka format na hivyo kuwa sawa na kuchana tu.
Kwahiyo huyo mchomaji wa quran ni kama tetemeko siyo . Haya bana nimekuelewaLengo la tetemeko lililo tokea uturuki hadi misiki na quran kuteketea lilikuwa ni nini?
Kweli kabisa mkuu. Hata mm namuona huyu jamaa aliyechoma korani ni juha sana.Juha majnuni
Lakini ujue Iraq sio nchi ya kiislamu mkuu.Raia wa Iraq kachoma , hatuna la kusema mbwa kala mkia wake.
Wewe ukiisikia tu Iraq [emoji1131] ina sound vipi?Lakini ujue Iraq sio nchi ya kiislamu mkuu.
Hata Dar es Salaamu inasound kiarabu lakini Tanganyika sio nchi ya kiarabu. Au wewe unataka kusemaje mkuu?Wewe ukiisikia tu Iraq [emoji1131] ina sound vipi?
Sina neno mkuu.Hata Dar es Salaamu inasound kiarabu lakini Tanganyika sio nchi ya kiarabu. Au wewe unataka kusemaje mkuu?
ujuha wake nia upiKweli kabisa mkuu. Hata mm namuona huyu jamaa aliyechoma korani ni juha sana.
ujuha wake nia upi
Maana yangu mchomaji mwenyewe anajua lengo la kufanya hivyo ... Maana ni ummat mohammad mwenzao....Kwahiyo huyo mchomaji wa quran ni kama tetemeko siyo . Haya bana nimekuelewa
me sioni shida kuchoma biblia au Koran maana ni vitabu kama vitabu vingine.Sasa si ujinga kupitiliza hata kama wewe ni muislam sana ndio uchane biblia
Ukishindwa kumuheshimu mzazi wa mwenzio iko wazi kuwa na mzazi wako wa kukuzaa hauwezi muheshimu
Kwanza kabisa Uislamu si dini ya haki.Nchi kadhaa ulimwenguni zimeshutumu tukio la kuchomwa kwa nakala ya Quran nchini Sweeden katika maandamano. Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala ya Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.
View attachment 2674424
Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, U.A.E, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo. Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.
Chanzo: BBC Swahili
MAONI YANGU
Kitendo cha kuchomwa moto koran hakijawahi kuripotiwa mahali popote pale hapa duniani. Katika siku za nyuma niliwahi tu kusikia kuwa biblia ilichomwa moto lakini sijawahi kusikia kuhusu korani. Je, tukio hili linaashiria mwisho wa uislamu duniani? Kumbuka korani ni kitabu kitakatifu kilicholetwa na Allah hapa duniani kuukomboa ulimwengu.
Mojawapo ya nchi zilizolaani tukio la kuchomwa moto korani ni serikali ya Dubai (U.A.E). Lakini serikali hii ndiyo imekuja kununua bandari za Tanganyika kupitia kampuni ya kilaghai ya DPW. U.A.E ni serikali ya kiislamu (Islamic Republic) na inayofuata misingi ya kidini inayokataza dhulma na wizi wa rasilimali. Je, mpaka nukta hii bado tuendelee kuuamini uislamu kama dini ya haki?
Nawasilisha.
Amechoma moto kitabu cha Allah bila sababu za msingi.ujuha wake nia upi
Mchomaji ni Christian refugee from IraqMaana yangu mchomaji mwenyewe anajua lengo la kufanya hivyo ... Maana ni ummat mohammad mwenzao....