Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

Hili nalo linthibitisha allah hayupo ni kitabu tu cha stori kama cha ngoswe penzi kitovu cha uzembe.
Kuna watu akili hamna kabisa nasi kama hivyo mahekalu Yerusalem yasingebomolewa na wahuni tu na huyo mnayemuita Yesu asipigwa misumari ya nguvu na Makanisa yasingeharibiwa na kuibiwa ,watu wema wasingekufa.
 
WAISLAM WANA MUNGU DHAIFU ANAYE WALILIA WAM-DEFEND

MUNGU WA KWELI HATETEWI
Inasikitisha sana haya yapo katika bible ,tokea enzi watu wanampigania Mungu.
1-Samuel-15-3(4).jpg
 
Ni muda sasa umefika wawaache wafanye watakavyo soon watachoka kuichokonoa dini ya watu. Biblia tele zinachanwa na kuchomwa moto na watu hawapigi kelele mpaka wachanaji wanajiona wajinga
Kila mtu yuko tofauti jinsi anavyoreact kutokana na sababu mbalimbali, kuna mwengine ukitukania Wazzi wake ni ugomvi mkubwa ila mwengine anaona kawaida.

Mwengine mtoto wake akiwekwa mimba na wahuni au akiibowa hana haja ya kuchukua hatua kwa wahusika anasamehe tu na wengine hawapo hivyo.Sasa usilazimishe wote wawe kama unavyotaka wewe kisa wewe unaona kawaida kwa uono wako.

Muhimu ni kuheshimiana kila mtu aheshimu cha mwenzie kwani hakuna ulazima wa kuanzisha vuguvugu zitakazo pelekea chuki ,fujo na uhasama.
 
Umejuaje kama huyo mtu sio chizi ?

Na angekuwa kafanya hivyo kwenye nchi ya Waislamu wangemuuwa vibaya sana kwa kumgombania.

Inawezekana kabisa kati ya wachoma Qurani, na Waislamu, kuna kundi moja ni la Machizi.
 
Mm siungi mkono kitendo hicho hiyo ni dharau juu ya dini. Kwani huyo kijana ni dini gani?
 
Ili kukwepa hili la uchomaji Quran watakuja na mpango wa kutozichapisha tena au kutozipeleka tena huko Sweden walivyo na akili duni.
 
View attachment 2673379

Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.

Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo.

Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.

BBC

=====================
Hii inanikumbusha miaka flani msanii wa Ufaransa alichora katuni
Jamaa wakahisi kachorwa "Mo"
Waliwasha moto utafikiri wapo nchini kwao. 😅😅😅😅😅😅 mkiona mnanyanyaswa si mnarudi tu makwenu
Bahati nzuri mchomaji ni mzaliwa wa kulekule wenye dini yao (IRAQ) na jina ni la dini ileile, sijui ingekuwaje kama angekuwa mzaliwa wa Sweden na mgalatia, nadhani si tu kumuondosha balozi wangevunja na jengo lenyewe walivyopumbazwa na hii dini aliyokuja nayo Muhamad (s.a.w).
 
Soma Bible vizuri ,Nabii Daudi (Peace be upon him ) kapigana vita nyingi sana na hata ndani ya bible kuna vita nyingi sana za kidini zimezungumzwa.
Biblia haina mtu anayeitwa Nabii Daudi... Ina MFALME Daudi.

Daudi hajawahi kuwa Nabii...
Hata ukienda Israel kwa wenye Daudi wao, ukawauliza Daudi alikuwa nani, watakwambia alikuwa Mfalme...sio nabii.

Nabii Daudi ni fiction character wa Mohamad aliyeibuliwa juzi karne ya 7
 
Bahati nzuri mchomaji ni mzaliwa wa kulekule na ana jina la dini ileile sijui ingekuwaje kama angekuwa mzaliwa wa Sweden na mgalatia nadhani si tu kumuondosha balozi wangevunja na jengo lenyewe walivyopumbazwa na hii dini aliyokuja nayo Muhamad (s.a.w).
Angekuwa mimi wangeniua 🤣🤣🤣
 
Biblia haina mtu anayeitwa Nabii Daudi... Ina MFALME Daudi.

Daudi hajawahi kuwa Nabii...
Hata ukienda Israel kwa wenye Daudi wao, ukawauliza Daudi alikuwa nani, watakwambia alikuwa Mfalme...sio nabii.

Nabii Daudi ni fiction character wa Mohamad aliyeibuliwa juzi karne ya 7
IMG_20230702_100423.jpg
 
Nchi kadhaa ulimwenguni zimeshutumu tukio la kuchomwa kwa nakala ya Quran nchini Sweeden katika maandamano. Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala ya Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.
View attachment 2674424
Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, U.A.E, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo. Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.

Chanzo: BBC Swahili

MAONI YANGU
Kitendo cha kuchomwa moto koran hakijawahi kuripotiwa mahali popote pale hapa duniani. Katika siku za nyuma niliwahi tu kusikia kuwa biblia ilichomwa moto lakini sijawahi kusikia kuhusu korani. Je, tukio hili linaashiria mwisho wa uislamu duniani? Kumbuka korani ni kitabu kitakatifu kilicholetwa na Allah hapa duniani kuukomboa ulimwengu.

Mojawapo ya nchi zilizolaani tukio la kuchomwa moto korani ni serikali ya Dubai (U.A.E). Lakini serikali hii ndiyo imekuja kununua bandari za Tanganyika kupitia kampuni ya kilaghai ya DPW. U.A.E ni serikali ya kiislamu (Islamic Republic) na inayofuata misingi ya kidini inayokataza dhulma na wizi wa rasilimali. Je, mpaka nukta hii bado tuendelee kuuamini uislamu kama dini ya haki?

Nawasilisha.

Mkuu nimependa maoni yako🤭🤭
 
Kwa sababu Uislam ndio dini ya asili. Dini iliyofundishwa na kufuatwa na Mitume yote. Na hakuna dini mbele ya Allah, Muumba wa kila kitu, isipokuwa Uislam. Na anayechagua Dini isiyokuwa ya Uislam haitakubaliwa kwake na akhera atakuwa ni mwenye hasara.

Ukristo sio dini ya asili kutoka kwa Allah, ni dini iliyoundwa tu na watu muda mrefu baada ya Yesu kuondoka, kisha wakamnasibishia nayo.
Define DINI.🤣🤣🤣

JIBU😀 Dini ni njia ya mwadam kumtafuta Mungu

Kristo alisema👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

Yohana 14:6​

6 Yesu akawaambia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.​

 
Back
Top Bottom