Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

Watu wana akili na mitazamo ya ile kale chakavu na ya kijima. Yaani Quran ikiandikwa kwenye karatasi na kuwekwa kitabuni halafu ikachanwa eti wanaandamana.
Mbona inavyokuwa unistalled kwenye simu hawaandamani?
Wangepiga marufuku zisiwepo apps za quaran wala zisiandikwe mitandaoni (electronically) sababu huenda watu waka format na hivyo kuwa sawa na kuchana tu.
Tatizo akili mtu wangu.
 
Nafikiri kiaina ujumbe unawafikia maustadhi ambao huamini kwenye hicho kitabu na kujiaminisha atakayekidharau ataathirika, jamaa kafanya na hamna chochote kilimtokea, tena mzawa wa huko huko Iraq kwenye dini hiyo.

Sasa Mswahili wa kwa Mtongole endelea kujipa mizuka na mihemko....
 
Huyo Balozi wa Morocco nchini Sweden, kosa lake ni lipi?.
Kumtoa baloz sio kumhukum baloz ila ni kuonesha umavunja uhusiano na nchi husika , sasa swala la dini ni moja kati ya mambo ya ushirikiano baina ya Morocco vs Sweden , hawa waarab ndo wanapofer , MIHEMKO MING SANA
 
View attachment 2673379

Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.

Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo.

Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.

BBC
Aliyechana kitabu ni Mwarabu toka huko Dini ilikotokea!
 
Back
Top Bottom