Mpalestina11
Senior Member
- Oct 28, 2022
- 113
- 203
Kwa hiyo waislamu wa taifa fulani wakichoma moto waKristo au Kuwachinja wa Kristo, tuwafukuze mabalozi wao sio?? Morocco has acted unwisely......Walio anzisha Uislamu wa saudi arabia wenyewe hawajafukuza Balozi, Hawa morroco walioletewa dini ya Saudi Arabia inakuwaje wanafukuza Balozi wa Sweeden??View attachment 2673379
Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.
Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo.
Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.
BBC