Huja
JF-Expert Member
- Aug 7, 2021
- 1,167
- 1,848
Kupiga kelele na kutokupiga kelele inategemea unavyo VALUE hicho kitu...Hicho si kitabu tuu, wanaweza print kingine . Huwezi ona huu upuuzi kwenye ukristo hata wachome bible mia huwezi ona kelele hizi.
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Na ili u-value inategemea umuhimu wa hicho kitu ktk maisha.
Thamani ya QURAN kwa muislamu ni tofauti kabisa kwa thamani ya Biblia kwa mkristo..
Nadhani yaweza kuwa ngumu kuelewa ninachosema unless kwa mtu anayeisoma na kuikubali QURAN...kwa hiyo sio sahihi kulinganisha hivi vitu viwili ktk hisia za wahusika...
Ni kama ilivyo nyumba pia za ibada.
Kupuuzia vinapoharibiwa hivyo vitu 2, sio kipimo eti cha ustaarabu, bali ni kiwango cha VALUE + IMPACT katika maisha yake ya jumla na ya kila siku.
Utashangaa hisia endapo KARIBA ya nchi ilkirushwa hadharani kwa kudhalilisha, au Kiongozi wa nchi akitusiwa,, au alama yoyote ya utaifa ikidhihakiwa raia husika huweza hata kuandamana, au nchi na nchi kuvunja hata ubalozi n.k...kwa nini ? Kwa sababu hilo kwao lina VALUE.
Lakini Biblia yaweza kuchezewa wala watu washistuke/kasirika ...kwa nini? VALUE ktk nafsi husika.
Kwa hiyo issue sio kujificha ktk kivuli cha USTAARABU ...but VALUE + IMPACT