Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

wakichoma si unaenda kuchapisha kingine, simple. unaumia nini?
Sasa hawa ndugu zetu sijui shida iko wapi!?? Na usikute jamaa hakuchukua cha mtu wala sio cha msikitini bali katafuta huko na kuamua kukichana watu wanalipuka kwa hasira
 
huwa nashangaa watu wanojaribu ku-mdifendi Mungu.. mungu kama Mungu anauwezo wa kujilinda mwenyewe na kutunza neno lake Mwenyewe hio lia lia na kujaribu kumprotect mungu ndiop makundi ya ajabu na uhasama unaotokea ....kama isingekuwa uislamu unadifendi Mungu huyo mwarabu asingechoma...
 
Ni sawa tu kwani watu wa aina hiyo tunao na tunaishi nao haina haja ya kujidai wamevurugwa dawa yao ni kuwaombea kheri tu.
 
quran si mali ya mtu yeye ni mtunzaji kuna anayeimilik ndo mana ikiaribiwa watu wana react sana
Kikiwa chini ya possession yake ni mali yake.
Au kama si mali ya mtu basi hao wengine wanapiga kelele za nini? Si watulie wamuache mwenye mali yake ndiye alalamike!?
 
Ni muda sasa umefika wawaache wafanye watakavyo soon watachoka kuichokonoa dini ya watu. Biblia tele zinachanwa na kuchomwa moto na watu hawapigi kelele mpaka wachanaji wanajiona wajinga
Mmh sijaona mtu akienda mbele ya kanisa na kuchoma moto Bible. Tuseme ukweli tuna waprovoke waislamu kwa makusudi. Hivi kila mtu akiheshimu dini ya mwengine kuna shida gani?
 
Mmh sijaona mtu akienda mbele ya kanisa na kuchoma moto Bible. Tuseme ukweli tuna waprovoke waislamu kwa makusudi. Hivi kila mtu akiheshimu dini ya mwengine kuna shida gani?
Waislamu wanapenda kulialia mno,Biblia Kila siku zinachomwa and nobody gives a damn
 
Back
Top Bottom