Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
NakaziaChupi ni nyingi , tafuta mpya !
kuforce ni kwenye hela tu mjomba !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaChupi ni nyingi , tafuta mpya !
kuforce ni kwenye hela tu mjomba !
Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani kama tunaendana kila kitu apendacho nami pia.
Hana mapepe kama mademu wa siku hizi, she's humble and smart ila usi cross borders. Wakuu I was like huyu lazima nipambane mpk tone la mwisho. Nilishazoea kumanifest tendo haraka ila hapa nimegonga mwamba yaani kumleta kwenye line hata kwa pesa huwezi. Ila kadri tulivyo kuwa tunazoeana nilianza kuona kabisa she's having affection.
Sasa nimeyakoroga! This is because of my need kumchakata mapema kushindikana. Jamani mtanisamehe nilimtukana, na kumwambia tusitafutane tena, kisa some simple things. Hii strategy huwa naitumia sana ili kuwavuta waje hataka.... Sasa kaenda mazima siku ya 2 now now sms or call... Kadri siku zinavyokwenda ndo nazidi kugundua she was a wife material... Now lazima atakuwa kasha loose trust na mimi, how do I clean up this mess? I was too pushy
Why loosing sleep for something others were chewing for free?Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani kama tunaendana kila kitu apendacho nami pia.
Hana mapepe kama mademu wa siku hizi, she's humble and smart ila usi cross borders. Wakuu I was like huyu lazima nipambane mpk tone la mwisho. Nilishazoea kumanifest tendo haraka ila hapa nimegonga mwamba yaani kumleta kwenye line hata kwa pesa huwezi. Ila kadri tulivyo kuwa tunazoeana nilianza kuona kabisa she's having affection.
Sasa nimeyakoroga! This is because of my need kumchakata mapema kushindikana. Jamani mtanisamehe nilimtukana, na kumwambia tusitafutane tena, kisa some simple things. Hii strategy huwa naitumia sana ili kuwavuta waje hataka.... Sasa kaenda mazima siku ya 2 now now sms or call... Kadri siku zinavyokwenda ndo nazidi kugundua she was a wife material... Now lazima atakuwa kasha loose trust na mimi, how do I clean up this mess? I was too pushy
Tafuta pesa .Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani kama tunaendana kila kitu apendacho nami pia.
Hana mapepe kama mademu wa siku hizi, she's humble and smart ila usi cross borders. Wakuu I was like huyu lazima nipambane mpk tone la mwisho.
Nilishazoea kumanifest tendo haraka ila hapa nimegonga mwamba yaani kumleta kwenye line hata kwa pesa huwezi. Ila kadri tulivyo kuwa tunazoeana nilianza kuona kabisa she's having affection.
Sasa nimeyakoroga! This is because of my need kumchakata mapema kushindikana. Jamani mtanisamehe nilimtukana, na kumwambia tusitafutane tena, kisa some simple things.
Hii strategy huwa naitumia sana ili kuwavuta waje hataka. Sasa kaenda mazima siku ya 2 now now sms or call... Kadri siku zinavyokwenda ndo nazidi kugundua she was a wife material.
Now lazima atakuwa kasha loose trust na mimi, how do I clean up this mess? I was too pushy.
Naomba namba zake za simu please!Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani kama tunaendana kila kitu apendacho nami pia.
Hana mapepe kama mademu wa siku hizi, she's humble and smart ila usi cross borders. Wakuu I was like huyu lazima nipambane mpk tone la mwisho.
Nilishazoea kumanifest tendo haraka ila hapa nimegonga mwamba yaani kumleta kwenye line hata kwa pesa huwezi. Ila kadri tulivyo kuwa tunazoeana nilianza kuona kabisa she's having affection.
Sasa nimeyakoroga! This is because of my need kumchakata mapema kushindikana. Jamani mtanisamehe nilimtukana, na kumwambia tusitafutane tena, kisa some simple things.
Hii strategy huwa naitumia sana ili kuwavuta waje hataka. Sasa kaenda mazima siku ya 2 now now sms or call... Kadri siku zinavyokwenda ndo nazidi kugundua she was a wife material.
Now lazima atakuwa kasha loose trust na mimi, how do I clean up this mess? I was too pushy.
Thanks mkuu, ndo maana nimevunga.Na ukijirudisha kwa kutia tia huruma atakuona upo desperate na ndio atazidi kuongeza mashauzi na kukukazia.
Huyo manzi umeshampenda mpaka umepitiliza na ameshalijua hilo. Ukijirudisha tu jiandae kupelekeshwa mpaka utie akili! Nashauri endelea kukaza na umpotezee mazima.
Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani kama tunaendana kila kitu apendacho nami pia.
Hana mapepe kama mademu wa siku hizi, she's humble and smart ila usi cross borders. Wakuu I was like huyu lazima nipambane mpk tone la mwisho.
Nilishazoea kumanifest tendo haraka ila hapa nimegonga mwamba yaani kumleta kwenye line hata kwa pesa huwezi. Ila kadri tulivyo kuwa tunazoeana nilianza kuona kabisa she's having affection.
Sasa nimeyakoroga! This is because of my need kumchakata mapema kushindikana. Jamani mtanisamehe nilimtukana, na kumwambia tusitafutane tena, kisa some simple things.
Hii strategy huwa naitumia sana ili kuwavuta waje hataka. Sasa kaenda mazima siku ya 2 now now sms or call... Kadri siku zinavyokwenda ndo nazidi kugundua she was a wife material.
Now lazima atakuwa kasha loose trust na mimi, how do I clean up this mess? I was too pole saana
Hujabalehe bado,,, kwahyo ukinyimwa unatukana ???Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani kama tunaendana kila kitu apendacho nami pia.
Hana mapepe kama mademu wa siku hizi, she's humble and smart ila usi cross borders. Wakuu I was like huyu lazima nipambane mpk tone la mwisho.
Nilishazoea kumanifest tendo haraka ila hapa nimegonga mwamba yaani kumleta kwenye line hata kwa pesa huwezi. Ila kadri tulivyo kuwa tunazoeana nilianza kuona kabisa she's having affection.
Sasa nimeyakoroga! This is because of my need kumchakata mapema kushindikana. Jamani mtanisamehe nilimtukana, na kumwambia tusitafutane tena, kisa some simple things.
Hii strategy huwa naitumia sana ili kuwavuta waje hataka. Sasa kaenda mazima siku ya 2 now now sms or call... Kadri siku zinavyokwenda ndo nazidi kugundua she was a wife material.
Now lazima atakuwa kasha loose trust na mimi, how do I clean up this mess? I was too pushy.
Naunga mkono hojaSasa ulimtukana kakufanyia nini? tuanzie hapo, yaani kipochi chake na matusi umempa na hakula chochote cha kwako huo uzwazwa
Pole. Ogea chumvi ya mawe itakusaidia kupambana na vitu kama hivyo.Nahisi huwa nakuwa na hasira kwa vitu vidogo!
Wife material si ameshakataa mkuu , kama hela sio tatizo kwako , fanya hata hobby zako tu 😆😂Tatizo ni kuwa she was a wife material
Hela wengine saiz sio priority kivile