Hasira ya kumfumania mume wake na rafiki yake wa karibu mke aamua kuchoma pesa

Huyu hana namna lazima Jamuhuri iangaikenae hadi ajifunze kutunza hasira ndani ya mwili wake na sio kuhamishia ktk kuvunja sheria kwa kuhujumu uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.
 
Mm ningekuwa yule jamaa namrudisha kwao had pesa zangu zilipwe zote na ikiwezekan tuachane mazima
 
Roho imeniuma sana anawezaje kuchoma pesa? Mme kuchepuka kashachepuka hata uzichome huna jipya.

Ningezibebaaaaa zoooote nikasepa nazo, aiseee nimeumia mno. Haya mambo kwa nini hayanikuti mimi? Heka nyingi hivyo? Kanikera sana huyo faler.

Hivi BOT hivyo vipande hawawezi pokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…