Hasira ya Magufuli kwa vyombo vya habari na vyama vya siasa chanzo chake ni hiki?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Ni kutokana na kugundua vilikuwa vinatumika na Mtandao.. Tunaofahamu tunafahamu Eric hajawahi kuwa that much smart.

Vyama vya upinzani vingi vina mapandikizi ya Mtandao. Na hawa ndo walikuwa wanawawezesha wafanye harakati zao za Kimaslahi. Zitto Kabwe alishauriwa asijiunge CCM aanzishe Chama. Atasaidiwa.

Ilikuwa ni chama backup. Na Zitto aliamini mwendo huo angeenda nao Magufuli. Kipindi kile wenzie wanatoka Bungeni kumgomea Magufuli alibaki. Magufuli alimjua Zitto ndo maana hakuwahi mweshimu.

Na pengine hata Lissu alidhaniwa anapigania maslah ya Mtandao au aliingizwa kwenye hujma maskini bila kujua.

Maana Lissu angejua angesema. Magufuli kuna watu aliwaheshimu pamoja na kuwa walikuwa wapinzani akina Mnyika na Prof Mkumbo sababu hawakuwa wakionekana kutumika. Lakini alijua akina Mbowe ni wajasiliamali.

Na ikasababisha awakosee na wengine na waandishi wote waliomkosoa akiamini ni Wanamtandao au wanatumika. Kumbe kuna ambao walikuwa wakikosoa kwa maslah ya nchi na wapo kweli waliokuwa wakitumika.
 
Itoshe Kusema Timu yote ya Pwani na Zanzibar ni wangese wangese hawafai pewa nchi Yani mafala
 
Eric ni kijana wa zitto na alikua wakishirikiana kwenye lile gazeti Mmachame alikua anamtumia Lissu kama Spika maana anajua Lissu ni jasili Mmachame na watu wa mtandao marafiki ova
 
Ni kutokana na kugundua vilikuwa vinatumika na Mtandao.. Tunaofahamu tunafahamu Eric hajawahi kuwa that much smart.

Vyama vya upinzani vingi vina mapandikizi ya Mtandao. Na hawa ndo walikuwa wanawawezesha wafanye harakati zao za Kimaslahi. Zitto Kabwe alishauriwa asijiunge CCM aanzishe Chama. Atasaidiwa.

Ilikuwa ni chama backup. Na Zitto aliamini mwendo huo angeenda nao Magufuli. Kipindi kile wenzie wanatoka Bungeni kumgomea Magufuli alibaki. Magufuli alimjua Zitto ndo maana hakuwahi mweshimu.

Na pengine hata Lissu alidhaniwa anapigania maslah ya Mtandao au aliingizwa kwenye hujma maskini bila kujua.

Maana Lissu angejua angesema. Magufuli kuna watu aliwaheshimu pamoja na kuwa walikuwa wapinzani akina Mnyika na Prof Mkumbo sababu hawakuwa wakionekana kutumika. Lakini alijua akina Mbowe ni wajasiliamali.

Na ikasababisha awakosee na wengine na waandishi wote waliomkosoa akiamini ni Wanamtandao au wanatumika. Kumbe kuna ambao walikuwa wakikosoa kwa maslah ya nchi na wapo kweli waliokuwa wakitumika.
Mkumbo?
 
Nyie mambwa koko mfuateni huyo mshamba mwenzenu hili si jukwaa la wafu.
 
Hakuna mwenye nafuu kwa Mtanganyika kati yao.
Magufuri ndiye aliyekuwa akiwapa akina Slaa,Zitto,Kafulila siri za baraza,ushahidi wa Escrow ila kwa nia njema ya kudhibiti wizi wa mali za Umma.

Kwa sababu hizohizo,alijua kama ambavyo yeye alikuwa akiwatumia ndivyo ambavyo na LISSU alikuwa akitumiwa wakati yeye akiwa CEO.
Sifahamu ukweli kuhusu kutumika kwa Lissu lkn Magufuri alihisi anatumika ili amkwamishe kwa kupewa maelekezo na hao BOYS 2 MEN na inasemekana hata match ya 2020 walikuwa tayari CCM isichukue Uraisi ili tu Magufuri akae kando.

Akatonywa,na yeye akawaonya DEDS kama mlivyowahi kusikia hivyo akafanikiwa kuruka kiunzi cha kwanza mpaka alipojichanganya kwenye uzinduzi wa viwanda mara vya maji,mara vya RA na mwisho mikataba ya kushirikiana kuitawala Zanzibar kati ya hao CCM na ACT na matokeo yake ni tangazo la March 17 2020.
 
Nyie mambwa koko mfuateni huyo mshamba mwenzenu hili si jukwaa la wafu.

Wewe mbwa jike unatoa povu kila sehemu yako ya wazi ukivuja kutetea wanaume ambao wewe umebaki maskini wenzio wanatajirika. Upo hapo hata pesa ya kula huna umelainika tu makalio wenzio hata pesa tunazo na mimi nipo nje ya nchi nafaidika na mtandao wewe jibwa jike la mtaa unalalama tu humu. Unasubiri madume yakupande.
 
Back
Top Bottom