Hasira za Mzee Jomo Kenyatta - moto kama pasi

While Nyerere was preaching ujamaa, Kenyatta was telling people to work harder.. tofauti ya uongozi toka kitambo

Propaganda za kimagharibi huwa haziwaishi wakenya, maisha mnayoishi magumu mkija Tz mnapang'ang'ani hamtaki kurudi kwenu. Tz kutamu hata wahindi wakifika wanagoma kurudi kwao
 
Wabongo mlilishwa na mnazidi kulishwa propaganda na CCM hadi sasa hivi. Ukweli wa mambo ni kwamba umasikini Tz unazidi Kenya kwa mbali sana. Mnaongoza ukanda huu na 54.6% ya watanzania ambao ni masikini, hiyo ni takriban watu 30.4 million! Linganisha na takwimu za Kenya, kutoka U.N pia(2018), 38.8%/18.8 million.
 
Nenda vijijini Kenya na vijijini Tz hafu utajua mwenyewe nani maskini, nchi yenu ndogo kwa eneo lakini umaskini mlionao unanuka na hauelezeki. Kenya umaskini ni wa kiukoo, ndo maana mnamatatizo kuanzia ardhi hadi mgawanyo wa mali.
 
Vijiji vya Tz ni hohehahe. Obviously hujafika Kenya wewe.
 
KENYA tumenyamaza sana. We need powerful leaders kama wale wa Kitambo. Watu hujidanganya Kenya ilijengwa na Mzungu lakini ni wakenya ndio walijenga na bado wanajenga Kenya. Kenya is just a sleeping giant. Ikiamka hakuna country hapa Africa itatufikia. [emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139]
While Nyerere was preaching ujamaa, Kenyatta was telling people to work harder.. tofauti ya uongozi toka kitambo

Sasa kati ya nyinyi na sisi wagani hutoroka Inchi yao. Kenya imebeba wakimbizi kutoka kila kona. Tanzania wakiongoza kwa idadi ya Maskini waliotoroka makwao. Albino na vilema kutoka Tz pia wamejaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maskini kenya atasema.."Heri kulia kwenye Range Rover kuliko kucheka kwenye Bodaboda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Propaganda za kimagharibi huwa haziwaishi wakenya, maisha mnayoishi magumu mkija Tz mnapang'ang'ani hamtaki kurudi kwenu. Tz kutamu hata wahindi wakifika wanagoma kurudi kwao
 
Wabongo mlilishwa na mnazidi kulishwa propaganda na CCM hadi sasa hivi. Ukweli wa mambo ni kwamba umasikini Tz unazidi Kenya kwa mbali sana. Mnaongoza ukanda huu na 54.6% ya watanzania ambao ni masikini, hiyo ni takriban watu 30.4 million! Linganisha na takwimu za Kenya, kutoka U.N pia(2018), 38.8%/18.8 million.

Tumia sample ndogo tu ya masikini anayeishi dar na yule wa nairobi.utagundua kuna shida mahali kenya.

Kuna tofauti kubwa ya masikini asiyeshika mali ya $1 kwa siku na masikini aiyeweza kula milo mitatu kwa siku.
 
Sasa kati ya nyinyi na sisi wagani hutoroka Inchi yao. Kenya imebeba wakimbizi kutoka kila kona. Tanzania wakiongoza kwa idadi ya Maskini waliotoroka makwao. Albino na vilema kutoka Tz pia wamejaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maskini kenya atasema.."Heri kulia kwenye Range Rover kuliko kucheka kwenye Bodaboda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tanzania haina wananchi ambao ni wakimbizi, wakimbilie Kenya huku wamekosa nini? Kenya wake kwa waume mkifika Tz mnang'ang'ania kuolewa na Watz kisa huko kwenu maisha magumu hakuna fursa.
 
Huyu jamaa anatukuna kama vile yupo na masela wake tu. Halafu Kenyatta na Odinga inaonekana walikuwa marafiki sana. Matatizo yao yalikuwa kwenye personal level bahati mbaya yalihamia kwenye ukabila.
 
Tumia sample ndogo tu ya masikini anayeishi dar na yule wa nairobi.utagundua kuna shida mahali kenya.

Kuna tofauti kubwa ya masikini asiyeshika mali ya $1 kwa siku na masikini aiyeweza kula milo mitatu kwa siku.
Haya yote unayoyaongelea yalitiliwa maanani kwenye ripoti ya U.N Global Multi-Dimensional Poverty Index 2018 na ripoti ya World Bank pia. Mliongoza kwa wingi wa masikini ukanda huu wote jombaa. Hizi blah blah zenu za kujiliwaza bila takwimu ya kuzipa support ni hadithi tu za danganya toto. Kila mtu apambane na hali yake bana.
 
Wewe hata UN wakikwambia una mimba utaanza enda clinic[emoji38][emoji38][emoji38].

Kwani kuishi chini ya dola moja ndio nini???usukumani ukikosa ng'ombe basi wewe ni maskini.kwa mujibu wa mzungu kukosa dola moja kwa siku wewe ni maskini,kwa mujibu wako wewe umasikini ni nini??
 
Sasa unataka niamini maneno kutoka kwako wewe na chokoraa wenzako Kariakoo? Wakati hata hujatia mguu nje ya vijiwe vya kahawa hapo kitaa? [emoji15] Ningekushauri kwanza utafute kwanza hiyo ripoti ya U.N ya 2018, haijaongea lolote kuhusu dollar, acha ukibwengo wako wewe!
 
Back
Top Bottom