Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
Ndani itakuwa ni uwanja wa kung FuUpendo wa kweli ninao mamlaka ninayo😋ila me mchokozi sana naweza kuishi na wewe kweli
Ndani itakuwa ni uwanja wa kung FuUpendo wa kweli ninao mamlaka ninayo😋ila me mchokozi sana naweza kuishi na wewe kweli
🤣🤣🤣Unahisi nani atakuwa punching bag wa mwenzieNdani itakuwa ni uwanja wa kung Fu
Mimi hapa,na mwili huu😔...utaniua bure🙌🤣🤣🤣Unahisi nani atakuwa punching bag wa mwenzie
Basi usiwe na wasiwasi tutaishi kwa amani na furaha tele maana sitakupiga sana ni makonzi tu😁😁😁Mimi hapa,na mwili huu😔...utaniua bure🙌
🤣🤣🤣 Hapana hapana,mi sitaki kupigwa jamenBasi usiwe na wasiwasi tutaishi kwa amani na furaha tele maana sitakupiga sana ni makonzi tu😁😁😁
🤣🤣🤣Basi nitakufinya tu🤣🤣🤣 Hapana hapana,mi sitaki kupigwa jamen
At least hivyo😉🤣🤣🤣Basi nitakufinya tu
Na kukung'ata pia😁😁😁At least hivyo😉
Upendo wa kweli na mamlaka au siyo...Kama huna upendo wa kweli Wala mamlaka hakika huwezi ishi nami...katu
Mimi sina hasira, huna nachekaga tu...Keep it up...
Tunaendeshana!My quote : "You should not let random people access your anger,easily triggered man/woman is a weak man"~Lovelia de Valmorra
Je unalinda hasira zako kama unavyolinda furaha yako? au wewe ni wale unagawa hasira tu hovyohovyo mtu au jambo lisipokuendea utakavyo. Anger (hasira ) ni Mtaji ,watanzania wengi SANA hawajui hil.unatakiwa ujifunze kui transmute au kuipeleka (to channel it)hasira ikusaidie badala ya kuiacha ijiendee tu ikuumize au uumize wengine.
Mtu asiyejua kuongoza hasira zake it means hajui kuongoza energy hiyo mwilini mwake,ina maana haja master mwili,pia ina maana hajamaster his/her mind, huyu bado ni weak man/woman. I hope huyo sio wewe.The good news is unaweza badili hili ukiamua.
Genius!Ili mambo yasiwe mengi fanya hivi
Furaha ikija furahia
Hasira zikija kasirika
Yanini kujipa stress kwa kuficha hasira wakati furaha hukuificha