Hasira zako zinakuendesha au unaziendesha?

Lovelia de Valmorra

Senior Member
Joined
Mar 14, 2025
Posts
132
Reaction score
182
My quote : "You should not let random people access your anger,easily triggered man/woman is a weak man"~Lovelia de Valmorra

Je unalinda hasira zako kama unavyolinda furaha yako? au wewe ni wale unagawa hasira tu hovyohovyo mtu au jambo lisipokuendea utakavyo. Anger (hasira ) ni Mtaji ,watanzania wengi SANA hawajui hil.unatakiwa ujifunze kui transmute au kuipeleka (to channel it)hasira ikusaidie badala ya kuiacha ijiendee tu ikuumize au uumize wengine.

Mtu asiyejua kuongoza hasira zake it means hajui kuongoza energy hiyo mwilini mwake,ina maana haja master mwili,pia ina maana hajamaster his/her mind, huyu bado ni weak man/woman. I hope huyo sio wewe.The good news is unaweza badili hili ukiamua.
 
Malizia mkuu
 
Ili mambo yasiwe mengi faya hivi
Furaha ikija furahia
Hasira zikija kasirika
Yanini kujipa stress kwa kuficha hasira wakati furaha hukuificha
hujaelewa kasome tena KWA KUTULIA uelewe maana watanzania wengi hamtuliagi kusoma vitu kuelewa mnasoma kujibu au mnakimbilia kujibu. wapi nimesema kuficha?hujaona haponimesema channeling au transmuting hasira au hujui maana yake?kama hujui sio tatizo uliza how hard is that ?!
 
My quote : "You should not let random people access your anger,easily triggered man/woman is a weak man"~Lovelia de Valmorra

Je unalinda hasira zako kama unavyolinda furaha yako? au wewe ni wale unagawa hasira tu hovyohovyo mtu au jambo lisipokuendea utakavyo. Anger (hasira ) ni Mtaji ,watanzania wengi SANA hawajui hil.unatakiwa ujifunze kui transmute au kuipeleka (to channel it)hasira ikusaidie badala ya kuiacha ijiendee tu ikuumize au uumize wengine.

Mtu asiyejua kuongoza hasira zake it means hajui kuongoza energy hiyo mwilini mwake,ina maana haja master mwili,pia ina maana hajamaster his/her mind, huyu bado ni weak man/woman. I hope huyo sio wewe.The good news is unaweza badili hili ukiamua.
Well said
 
hujaelewa kasome tena KWA KUTULIA uelewe maana watanzania wengi hamtuliagi kusoma vitu kuelewa mnasoma kujibu au mnakimbilia kujibu. wapi nimesema kuficha?hujaona haponimesema channeling au transmuting hasira au hujui maana yake?kama hujui sio tatizo uliza how hard is that ?!
Zuia hasira zako mtoa mada
 
Back
Top Bottom