Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Okthank you!
Okthank you!
kusema ukweli ni hasira?Zuia hasira zako mtoa mada
Naona kama umemfokeakusema ukweli ni hasira?
Back in the day It was chaos, i became an agent of chaos and destruction when hasira zikinipanda.My quote : "You should not let random people access your anger,easily triggered man/woman is a weak man"~Lovelia de Valmorra
Je unalinda hasira zako kama unavyolinda furaha yako? au wewe ni wale unagawa hasira tu hovyohovyo mtu au jambo lisipokuendea utakavyo. Anger (hasira ) ni Mtaji ,watanzania wengi SANA hawajui hil.unatakiwa ujifunze kui transmute au kuipeleka (to channel it)hasira ikusaidie badala ya kuiacha ijiendee tu ikuumize au uumize wengine.
Mtu asiyejua kuongoza hasira zake it means hajui kuongoza energy hiyo mwilini mwake,ina maana haja master mwili,pia ina maana hajamaster his/her mind, huyu bado ni weak man/woman. I hope huyo sio wewe.The good news is unaweza badili hili ukiamua.
Yaan wewe ndiyo una hasira kunizidi....ha ha meehhn wewe ni extremely weak man/woman.Yaani nakucontrol mwili na akili/fikra kwa maneno yangu tu..cmon toughen up!
Hehehe!!!Yaan wewe ndiyo una hasira kunizidi....
Comment yangu tu imekuchemshaa🤣🤣🤣🥱
Achana naye,nimegundua hii mada haituhusu bali inamhusu yeye.. anatakiwa apone yeye kwanzaNaona kama umemfokea
haha good for you !!Back in the day It was chaos, i became an agent of chaos and destruction when hasira zikinipanda.
Fast forward experience za maisha zikanipa uwezo wa ku control. Currently calm as water
Tumuache kwanza ayafanyie kazi aliyoyaandika kisha ndo atuhubirie sisi!Achana naye,nimegundua hii mada haituhusu bali inamhusu yeye.. anatakiwa apone yeye kwanza
Hakika hakika....mi ngoja niendelee kumsoma ana hasira kiasi gani... maana Kipimo kimeanza kuleta majibu haraka sanaTumuache kwanza ayafanyie kazi aliyoyaandika kisha ndo atuhubirie sisi!
Endelea kumchokonoa tuone 😃😀😄Hakika hakika....mi ngoja niendelee kumsoma ana hasira kiasi gani... maana Kipimo kimeanza kuleta majibu haraka sana
🤣🤣🤣🤣 Mi siyo mkorofi kiasi hicho...Endelea kumchokonoa tuone 😃😀😄
Yeah🤣🤣🤣🤣 Mi siyo mkorofi kiasi hicho...
We,vp ulishaamka kula?
hamtulii kusoma kuelewa harafu mkiambiwa ukweli mnaanza victimhoodAchana naye,nimegundua hii mada haituhusu bali inamhusu yeye.. anatakiwa apone yeye kwanza
Sawa mkuu,hv a nc morning.🙏🙏hamtulii kusoma kuelewa harafu mkiambiwa ukweli mnaanza victimhood
jitihada upunguze hasira kama mafundisho yako yasemavyohamtulii kusoma kuelewa harafu mkiambiwa ukweli mnaanza victimhood
VizuriYeah
you dreaming!Yaan wewe ndiyo una hasira kunizidi....
Comment yangu tu imekuchemshaa🤣🤣🤣🥱
HiNaziendesha balaa yaan hazinisumbui