Hasira zako zinakuendesha au unaziendesha?

Hasira zako zinakuendesha au unaziendesha?

eeh kumbe wwe ukisemaga hivyo ndio huwa unakaribia kulia? your weakness isn't my problem and your opinion has nothing to do with me
Mkuu mimi naona achana tu na huu uzi maana badala ya wewe kuwapa watu mbinu za kuepuka hasira cha ajabu wewe ndo watu wanakuona una hasira
 
hujaelewa kasome tena KWA KUTULIA uelewe maana watanzania wengi hamtuliagi kusoma vitu kuelewa mnasoma kujibu au mnakimbilia kujibu. wapi nimesema kuficha?hujaona haponimesema channeling au transmuting hasira au hujui maana yake?kama hujui sio tatizo uliza how hard is that ?!
Wewe ndio hujaelewa na inaonekana ni msahaulifu sana maana umeshasahau kwamba uliuliza swali gani..
Swali lako lilikua je unalinda hasira zako kama unavyolinda furaha yako.
Nikakujibu wakati wa hasira kasirika na wakati wa furaha furahia.
 
Mkuu mimi naona achana tu na huu uzi maana badala ya wewe kuwapa watu mbinu za kuepuka hasira cha ajabu wewe ndo watu wanakuona una hasira
haha who cares? wewe utakuwa people pleaser ndio maana unacare sana what people think. some of us we dont care, yaani watu wa jamii forum wanikoseshe usingizi haha you are making me laugh
 
Back
Top Bottom