Lovelia de Valmorra
Senior Member
- Mar 14, 2025
- 132
- 182
- Thread starter
- #41
tofautisha hasira na ukweli, au unataka niwe people pleaser kama wengi wenu?jitihada upunguze hasira kama mafundisho yako yasemavyo
tofautisha hasira na ukweli, au unataka niwe people pleaser kama wengi wenu?jitihada upunguze hasira kama mafundisho yako yasemavyo
Hi madam
Hivi mafundisho mazuri kama hayo umeyatoa wapitofautisha hasira na ukweli, au unataka niwe people pleaser kama wengi wenu?
Njema cute,nimefurahi kukuona mamaHi madam
Za weekend
endesha tu mkuu what am i losing?you ppl are like kids so you think i care?!! hahaNaziendesha balaa yaan hazinisumbui
Heheheendesha tu mkuu what am i losing?you ppl are like kids so you think i care?!! haha
🤣Uliyemvamia siye,amejibu tu mada yako mkuuendesha tu mkuu what am i losing?you ppl are like kids so you think i care?!! haha
My quote : "You should not let random people access your anger,easily triggered man/woman is a weak man"~Lovelia de Valmorra
Je unalinda hasira zako kama unavyolinda furaha yako? au wewe ni wale unagawa hasira tu hovyohovyo mtu au jambo lisipokuendea utakavyo. Anger (hasira ) ni Mtaji ,watanzania wengi SANA hawajui hil.unatakiwa ujifunze kui transmute au kuipeleka (to channel it)hasira ikusaidie badala ya kuiacha ijiendee tu ikuumize au uumize wengine.
Mtu asiyejua kuongoza hasira zake it means hajui kuongoza energy hiyo mwilini mwake,ina maana haja master mwili,pia ina maana hajamaster his/her mind, huyu bado ni weak man/woman. I hope huyo sio wewe.The good news is unaweza badili hili ukiamua.
Huyu mtu ana hasira kwelikweli!!!🤣Uliyemvamia siye,amejibu tu mada yako mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣Anazidi haribikiwa,ana-attack hadi wasiohusikaHehehe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zanguHuyu mtu ana hasira kwelikweli!!!
Itakuwa kuna mtu alimuona ana hasira sana kwa hiyo akampa haya mafundisho halafu yeye akatuletea sisi🤣🤣🤣🤣🤣Anazidi haribikiwa,ana-attack hadi wasiohusika
huo ni mtizamo wako kutoka na wewe ulivyo ,kama ni people pleaser utaona ulivyoona , kama sio utaona nimesema sawa,Naona kama umemfokea
🤣🤣🤣 Hakika apone...daah🙌Itakuwa kuna mtu alimuona ana hasira sana kwa hiyo akampa haya mafundisho halafu yeye akatuletea sisi
Zimefanyaje tena!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu
🤣 Zilikuwa zinauma ninavyocheka mkuuZimefanyaje tena!!!
Hehehe!!!🤣 Zilikuwa zinauma ninavyocheka mkuu
Ngoja wakuchapie wife tuone hasira yako uta I Chanel kwa Nani wahedi
haha dude how old are you? maana una behave kama teenager,just mind your business furendiHivi mafundisho mazuri kama hayo umeyatoa wapi
HeheheNgoja wakuchapie wife tuone hasira yako uta I Chanel kwa Nani wahedi
Basi fureshihaha dude how old are you? maana una behave kama teenager,just mind your business furendi