TANZIA Hassan Bantu afariki Dunia

TANZIA Hassan Bantu afariki Dunia

Ebu twambie umaarufu wa huyu mtu maana naona unamsifia sifia tuuu
huyu jamaa kweli ni maarufu..mimi nimekaa moro, jina lake ni maarufu lakini sikuwahi kumjua na wala sijui anafanya nini... nimepita hapa nahisi nitapata majibu
 
huyu jamaa kweli ni maarufu..mimi nimekaa moro, jina lake ni maarufu lakini sikuwahi kumjua na wala sijui anafanya nini... nimepita hapa nahisi nitapata majibu
Angekuwa maarufu basi ungemjua
 
Mkazi maarufu wa mjini Morogoro, Hassan Bantu pichani chini amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikopelekwa baada ya kujivua kwa muda mfupi:


Hassan Bantu alikuwa mfanyabiashara maarufu mzawa baina ya wengi wenye asili ya kiasia mjini humo.

Katika kipindi chake, Bantu amekuwa mwanachama wa kutegemewa wa CCM akishika nafasi nyingi za utendaji katika chama hicho kikongwe.

Alale pema peponi Hassan Bantu.
Namuona kama mmatumbi tu kumbe ni mwenye asili ya asia? Mungu aiweke roho yake mahala pema,nimeona wana Morogoro wengi wanamlilia inaonekana alikuwa mtu mwema sana. Tenda wema legacy yako itadumu ,lete maneno matamu legacy yake haitafika hata Manzese!
 
Chanjo ni hiari , lakn watu wanasafiri kwenda nje
Kwamba hawa marehemu wanaondoka kwa kasi ili nyie mlio hai mpate chanjo?

Usisahau hizi changamoto za kupumua ni mwendo wa mawimbi kwa mawimbi.

Au nasema uongo ndugu zangu?

Apumzike kwa amani Hassan Bantu
, Huko ni lazima uwe na cheti , so wapo sahihi kuileta na ni hiari Kama hutaku kunja kona
 
Kwan sabb ya kifo chake ni Corona?mbona mnaleta habri za chanjo...mleta mada ni vyema ungefafanua chanzo Cha kifo
 
Ni changamoto yetu ile ile ama?
IMG-20210519-WA0127.jpg
 
Back
Top Bottom