johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe umejifungua mimba ya mmakonde mwenzako Suleiman Mesiu?Kwani mimba ya Lissu bado hujajifungua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umejifungua mimba ya mmakonde mwenzako Suleiman Mesiu?Kwani mimba ya Lissu bado hujajifungua?
huyu jamaa kweli ni maarufu..mimi nimekaa moro, jina lake ni maarufu lakini sikuwahi kumjua na wala sijui anafanya nini... nimepita hapa nahisi nitapata majibuEbu twambie umaarufu wa huyu mtu maana naona unamsifia sifia tuuu
Angekuwa maarufu basi ungemjuahuyu jamaa kweli ni maarufu..mimi nimekaa moro, jina lake ni maarufu lakini sikuwahi kumjua na wala sijui anafanya nini... nimepita hapa nahisi nitapata majibu
Hata mfadhili wako jiwe alikuwa bingwa wa kukarili.Wewe umejifungua mimba ya mmakonde mwenzako Suleiman Mesiu?
Namuona kama mmatumbi tu kumbe ni mwenye asili ya asia? Mungu aiweke roho yake mahala pema,nimeona wana Morogoro wengi wanamlilia inaonekana alikuwa mtu mwema sana. Tenda wema legacy yako itadumu ,lete maneno matamu legacy yake haitafika hata Manzese!Mkazi maarufu wa mjini Morogoro, Hassan Bantu pichani chini amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikopelekwa baada ya kujivua kwa muda mfupi:
Hassan Bantu alikuwa mfanyabiashara maarufu mzawa baina ya wengi wenye asili ya kiasia mjini humo.
Katika kipindi chake, Bantu amekuwa mwanachama wa kutegemewa wa CCM akishika nafasi nyingi za utendaji katika chama hicho kikongwe.
Alale pema peponi Hassan Bantu.
Utalii wa njeAlienda Belgium kujifunza nini?
Nangu memena mawia!Hata mfadhili wako jiwe alikuwa bingwa wa kukarili.
Mkuu wakimbizi hawatembelewi wakiwa makambini na watu binafsi, labda wale wafanyakazi wa shirika la wakimbizi😂😂😂🤣Huko Ubelgiji alikutana na Tundu Lisu?
RIP
Unajua maana ya stupid?Nangu memena mawia!
ni jk family mtu maarufu kwa morogoroEbu twambie umaarufu wa huyu mtu maana naona unamsifia sifia tuuu
, Huko ni lazima uwe na cheti , so wapo sahihi kuileta na ni hiari Kama hutaku kunja konaKwamba hawa marehemu wanaondoka kwa kasi ili nyie mlio hai mpate chanjo?
Usisahau hizi changamoto za kupumua ni mwendo wa mawimbi kwa mawimbi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Apumzike kwa amani Hassan Bantu
Watu wengi wanatumia majina ya JK wengine wapo huko mavijijini mbona siyo maarufu?ni jk family mtu maarufu kwa morogoro
yaani jina lake ni maarufu..ila yy sikuwahi kumuona wala kumjuaAngekuwa maarufu basi ungemjua
Hahahaaaa.......!Mkuu wakimbizi hawatembelewi wakiwa makambini na watu binafsi, labda wale wafanyakazi wa shirika la wakimbizi😂😂😂🤣
Waulize wamakonde wenzio hapo Nanguluwe!Unajua maana ya stupid?
umeelewa lakini maana ya JK mkuuWatu wengi wanatumia majina ya JK wengine wapo huko mavijijini mbona siyo maarufu?
Walikutana na akamuambukiza corona, very sad indeedHuko Ubelgiji alikutana na Tundu Lisu?
RIP
Ni changamoto yetu ile ile ama?