Hassan Bumbuli na Haji Manara 'mnagombania' nini hadi 'mnatukanana' Matusi ya Nguoni katika 'WhatsApps' zenu?

Bumbuli mjanja sana. Alijua ile Prado ni mtego. Akaikaushia. Msaliti wetu akaipokea fasta hivi sasa anaitumikia.

Yaliyojiri Dubai anayajua mwenyewe

Maana hata Kabwili alianza hivihivi kimasihara.

NGUVU MOJA.

Hakuna mwiko wala nini.... mwiko hukohuko nyuma yao
Juzi nimeona amejilegeza kwa yule engineer akiwa tayari kuliwa mate,Prado inamtesa sana.
 
Rafiki Mmoja wa Injinia Hersi Said ( ambae ni Mdau wangu ) kasema Kitendo kile Kilimkera sana kwani atahisiwa Yeye ndiyo Mfanyabiashara wa Mafuta Laini ya Mgando kwa 'Mzungu Pori wa Kizaramo' wakati kumbe Mhusika ni Tajjri ( Taita ) tu hali iliyomlazimisha hata Juzi amkwepe na akae nae mbali kidogo.
 
Kwa hyo yawezkana anajua kilichomtoa kabwili hapo utopoloni eh?
Wote Wawili wanapenda sana kufanya Biashara za Kuuza au Kuagiza Mafuta Laini ya Mgando Buguruni, Ilala Bungoni, Tabata, Zanzibar ( hasa Unguja ), Mikocheni, Masaki na Uarabuni ( Falme za Kiarabu ) na hasa hasa Dubai na Muscat
 
Unapita UKAE hapa UBENA Z! ukirudi nambie japo KOROSHO Sheikh uwabebee Watoto!
Kama tumepanda Abood kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro kwa hiki ulichokiuliza hapa ni sawa na tumekaribia Ubena Zomoni na muda mchache tu tunaingia Msamvu Bus Terminal Morogoro.
 
Unapita UKAE hapa UBENA Z! ukirudi nambie japo KOROSHO Sheikh uwabebee Watoto!
Asante Mkuu ila Mimi sikai huko Kwenu Tanzania na hata JF Members wote wanajua kuwa naishi hapa Kwetu Kigali nchini Rwanda ila Tanzania naipenda hasa Watu wa Mikoa ya Mara ( Musoma ) na Mtwara ( Masasi )
 
Asante Mkuu ila hii mbona ndogo tu kuna Kubwa lao subiria Jumapili ama Wafungwe au watoke Sare na Coastal Union FC ya Tanga pale Mkwakwani Stadium ambapo najua Watavurugana na Mgogoro kuanza ambapo nami sasa ndipo hapo hapo naiweka Hadharani ili Waparaganyike zaidi kisha Waharibu Mechi zao zote za NBC Premier League na zile za ASFC.
Wakishinda je?
 
Napenda kuzungumzia mpira wa Yanga na Simba ndani ya uwanja. Mm Simba damu tena top fan ila huwa siizungumzii Yanga nje ya uwanja kwani sio msingi wa UTANI WA JADI, Hicho unachofanya Gent ni kuvuka mipaka vinginevyo usifanye haya kwa mgongo wa simba na ufanye wewe kama wewe na Yanga yako.
Simba ni familia ya soka na soka linamiiko yake na taratibu zake, kwa akili hizo ndugu yangu basi hata maji hatunyweana mtaani na visa vingi vitarekodiwa vya mashabiki,.
HATUTAKI KUFIKA HUKO.
NB: Point Of Soccer ndipo msingi wa soka ulipo hana mambo mengi dogo na namkubali sana kwani hachezi na jukwaa bali jukwaa linacheza na yeye. Yanga tumewaletea mfano wa kumwiga mazoezini huyu ndiye P.O.S Msingi wa Soka hao wengine wanaiga tu.
 
Huyo unayemtetea ni takataka kabisa hana miiko yoyote useless creature lemavu la ngozi

Idiot.
 
Back
Top Bottom