wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Juzi nimeona amejilegeza kwa yule engineer akiwa tayari kuliwa mate,Prado inamtesa sana.Bumbuli mjanja sana. Alijua ile Prado ni mtego. Akaikaushia. Msaliti wetu akaipokea fasta hivi sasa anaitumikia.
Yaliyojiri Dubai anayajua mwenyewe
Maana hata Kabwili alianza hivihivi kimasihara.
NGUVU MOJA.
Hakuna mwiko wala nini.... mwiko hukohuko nyuma yao
Rafiki Mmoja wa Injinia Hersi Said ( ambae ni Mdau wangu ) kasema Kitendo kile Kilimkera sana kwani atahisiwa Yeye ndiyo Mfanyabiashara wa Mafuta Laini ya Mgando kwa 'Mzungu Pori wa Kizaramo' wakati kumbe Mhusika ni Tajjri ( Taita ) tu hali iliyomlazimisha hata Juzi amkwepe na akae nae mbali kidogo.Juzi nimeona amejilegeza kwa yule engineer akiwa tayari kuliwa mate,Prado inamtesa sana.
Tena ni mkubwa kuliko vile uuwazavyo.Kumbe Kwa jirani moto unawaka chini kwa chini
Wote Wawili wanapenda sana kufanya Biashara za Kuuza au Kuagiza Mafuta Laini ya Mgando Buguruni, Ilala Bungoni, Tabata, Zanzibar ( hasa Unguja ), Mikocheni, Masaki na Uarabuni ( Falme za Kiarabu ) na hasa hasa Dubai na MuscatKwa hyo yawezkana anajua kilichomtoa kabwili hapo utopoloni eh?
Kama tumepanda Abood kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro kwa hiki ulichokiuliza hapa ni sawa na tumekaribia Ubena Zomoni na muda mchache tu tunaingia Msamvu Bus Terminal Morogoro.
Asante Mkuu ila Mimi sikai huko Kwenu Tanzania na hata JF Members wote wanajua kuwa naishi hapa Kwetu Kigali nchini Rwanda ila Tanzania naipenda hasa Watu wa Mikoa ya Mara ( Musoma ) na Mtwara ( Masasi )Unapita UKAE hapa UBENA Z! ukirudi nambie japo KOROSHO Sheikh uwabebee Watoto!
Wakishinda je?Asante Mkuu ila hii mbona ndogo tu kuna Kubwa lao subiria Jumapili ama Wafungwe au watoke Sare na Coastal Union FC ya Tanga pale Mkwakwani Stadium ambapo najua Watavurugana na Mgogoro kuanza ambapo nami sasa ndipo hapo hapo naiweka Hadharani ili Waparaganyike zaidi kisha Waharibu Mechi zao zote za NBC Premier League na zile za ASFC.
Kasema wapi aisee haya maneno mazito ujueBumbuli anamwambia msukule anapelekwa arabuni kushikwashikwa matako na mabwana zake.
Hii kauli ya Bumbuli imenifikirisha sana.
voice note ipo imezagaa.Kasema wapi aisee haya maneno mazito ujue
Napenda kuzungumzia mpira wa Yanga na Simba ndani ya uwanja. Mm Simba damu tena top fan ila huwa siizungumzii Yanga nje ya uwanja kwani sio msingi wa UTANI WA JADI, Hicho unachofanya Gent ni kuvuka mipaka vinginevyo usifanye haya kwa mgongo wa simba na ufanye wewe kama wewe na Yanga yako.
Simba ni familia ya soka na soka linamiiko yake na taratibu zake, kwa akili hizo ndugu yangu basi hata maji hatunyweana mtaani na visa vingi vitarekodiwa vya mashabiki,.
HATUTAKI KUFIKA HUKO.
NB: Point Of Soccer ndipo msingi wa soka ulipo hana mambo mengi dogo na namkubali sana kwani hachezi na jukwaa bali jukwaa linacheza na yeye. Yanga tumewaletea mfano wa kumwiga mazoezini huyu ndiye P.O.S Msingi wa Soka hao wengine wanaiga tu.
Mkuu hebu fanya utaratibu basi tuipatevoice note ipo imezagaa.
Genta naomba hiyo voice note mkuu nilijuaga ni ile ya zamani akiwa simba akamtukana baada ya kushangailia ajali ya basi la utopolo tabora kumbe hii nyingine?Waarabu Watu hatari sana Mkuu Wangu.
Tutawaomba TAKUKURU waingilie kati!!Wakishinda je?
Kwani Kofia za Kibaiolojia za WHO hazipo?Si nimesikia TAKADINI ana Ngoma inakuaje tena wanampumulia?
Idiot.Napenda kuzungumzia mpira wa Yanga na Simba ndani ya uwanja. Mm Simba damu tena top fan ila huwa siizungumzii Yanga nje ya uwanja kwani sio msingi wa UTANI WA JADI, Hicho unachofanya Gent ni kuvuka mipaka vinginevyo usifanye haya kwa mgongo wa simba na ufanye wewe kama wewe na Yanga yako.
Simba ni familia ya soka na soka linamiiko yake na taratibu zake, kwa akili hizo ndugu yangu basi hata maji hatunyweana mtaani na visa vingi vitarekodiwa vya mashabiki,.
HATUTAKI KUFIKA HUKO.
NB: Point Of Soccer ndipo msingi wa soka ulipo hana mambo mengi dogo na namkubali sana kwani hachezi na jukwaa bali jukwaa linacheza na yeye. Yanga tumewaletea mfano wa kumwiga mazoezini huyu ndiye P.O.S Msingi wa Soka hao wengine wanaiga tu.