GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Umemaliza kila Kitu Mkuu wangu Heko!Huyo unayemtetea ni takataka kabisa hana miiko yoyote useless creature lemavu la ngozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kila Kitu Mkuu wangu Heko!Huyo unayemtetea ni takataka kabisa hana miiko yoyote useless creature lemavu la ngozi
Mtafute Karigo Godson Karigo anayo!!!!Genta naomba hiyo voice note mkuu nilijuaga ni ile ya zamani akiwa simba akamtukana baada ya kushangailia ajali ya basi la utopolo tabora kumbe hii nyingine?
[emoji1751][emoji134]Bumbuli anamwambia msukule anapelekwa arabuni kushikwashikwa matako na mabwana zake.
Hii kauli ya Bumbuli imenifikirisha sana.
Manara vipi , jamaa kakupiga kwenye mshono?UPUUZI MTUPU ANDIKA KINGINE
punguza mumkariUPUUZI MTUPU ANDIKA KINGINE
huyo jamaa hapo nyuma mbona sura yake inaonesha kama anasikikizia kitu[emoji848][emoji848]Haya mnayofanya ni mazuri? Kuwainamishia/kuwabong'olea misambwanda wachezaji wa timu pinzani,hii ni rushwa na ndio maana mlishinda.
Anza na hili kwanza wewe Kolo FCView attachment 2077666
Disinformation campaign...bila Shaka ulisomea Bulgaria enzi zile za ukomunistiGSM binafsi tena hapa hapa JamiiForums nakumbuka nilianzisha Uzi Kuwaonya kuhusu Kumleta Yanga SC Haji Manara nikawaambia kuwa mmeandaa Bomu ambalo litakuja Kulipuka na Kuwagharimu Yanga SC na sasa yametimia.
Kamarada (Comrade) wangu (Kitasnia) Msomi Mwerevu Hassan Bumbuli nawe nilikuonya hapa hapa JamiiForums kuwa kutokana na ule ujio wa Haji Manara hapo Yanga SC kwa Uweledi wako na Hadhi yako ungeachana tu na Yanga SC na urejee zako MWANANCHI ( MCL ) hasa katika Gazeti lako la Mwanaspoti lakini ukanipuuza na sasa yametimia kwani nilichokitabiri Kwenu kimetimia.
Hopeless ( Mpuuzi ) Haji Manara wala sitopoteza muda mwingi nawe kwani nawe nilikuonya na Kukuambia kuwa Kitendo chako cha Kuwashambulia (tena personally kabisa) akina Mohammed Dewji (Mwekezaji Simba SC) na Barbara Gonzalez (CEO Simba SC) halafu Wao wanakunyamazia ni Ishara tosha ya Laana Kubwa na Mbaya itakayokutafuna na sasa nilichokitabiri Kimetimia.
Kamarada (Comrade) Hassan Bumbuli hivi unajisikiaje Nwenzako Haji Manara Kununuliwa Gari jipya aina ya PRADO, kuhamishwa kutoka Mikocheni alikokuwa akiishi mwanzo na sasa akipangiwa Nyumba Slip Way Masaki na akikuzidi Mshahara mara 15 wakati Kazi Kubwa na Nyingi za Yanga SC (hasa zile za Kiutendaji) zinafanywa na Wewe tu?
Huenda pia (Kamarada Hassan Bumbuli) ile laana ya Kumtukana vibaya Mtendaji Mwenzako (aliyekuwa Mhamasishaji) wa Yanga SC Antonio Nugaz ikawa inaanza Kukutafuna na Kukuumiza kwani kiukweli hukupaswa Kumtusi vile na nakumbuka pamoja na Kumtukana kote kule (Nugaz) bado alikuomba Radhi yaishe ukakataa na mwishowe akasema anamuachia Mwenyezi Mungu na sasa Mola/ Maulana nae ameanza Kumjibia.
Hata hivyo Kamarada (Comrade) Hassan Bumbuli nikushukuru tu kwa zile Video Mbili ulizomtumia (mpostia) Hajj Manara akiwa Dubai (Uarabuni) Kwao na Gharib Said Mohammed (GSM) huku Kaka yake 'akiupiga mwingi' kwa Manara wakiwa Wamesimama katika Hafla ya Kifamilia na ile ya Juzi kule Kisiwani Zanzibar aliyokuwa akimlazimisha Kumvuta karibu Injinia Hersi Said na Injinia akawa anakataa hali iliyopelekea jana katika Mchezo wenu dhidi ya Azam FC Injinia Hersi amkimbie na amkwepe Manara kwa Kukaa nae karibu.
Niliwahi kuwaambieni wana Yanga SC (wa hapa Jamvini JamiiForums) kuwa kama kuna Kazi rahisi na nyepesi Kwangu basi huwa ni kupata Habari Ngumu na zilizojificha kabisa za Kuihusu Yanga SC kama Timu, Wachezaji wake na mpaka Watendaji wake kwani huko nina Watu wengi wengi 'very Loyal' Kwangu na huwa hawanifichi Jambo lenu kama hili la Leo na yaliyopita.
Najua Kesho au Keshokutwa au huko mbeleni mtajitahidi Kukanusha hili ila nami GENTAMYCINE nawaambia kuwa nina 'Skendo' yenu nyingine ila kwa sasa naiweka (nawaweka) Kiporo nasubiri ama Mfungwe au Mtoke Sare na Coastal Union FC Jumapili hii (ijayo) kule Mkoani Tanga ili mkianza Kuvurugana (Kugombana) tu basi nami nikoleze Moto wangu kwa Kuiweka hadharani kwani 'Unyama Unyaman' kwa sasa.
Dah, BINADAMU tumekosa UTU au WATU tumekosa UBINADAMU?Kama tumepanda Abood kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro kwa hiki ulichokiuliza hapa ni sawa na tumekaribia Ubena Zomoni na muda mchache tu tunaingia Msamvu Bus Terminal Morogoro.
utafika tu japo pengine utakuwa umechoka sana.Dah, BINADAMU tumekosa UTU au WATU tumekosa UBINADAMU?
maana kumpumulia mlemavu mbinguni kuna kupokelewa kweli?
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app

Hivi wewe mgonjwa wa bawasiri kwanini kila ukishikwa tako unawaza Yanga tu??Uongee mara ngapi tena Mkuu wakati unaambiwa kuna bonge la Fukuto huko Yanga SC hasa kwa hawa Watendaji Wawili Bumbuli na Manara na kuna lingine hilo la Wanachama na Injinia Hersi Said kutokana na Kauli yake ya Kuwadharau?
Tegeni tu Sikio Wakuu kuna Moto huko.
Mpika majungu/Mchambuzi wa Mchongo/ Chupli Chupli/ Mchambuzi njaa kali . Mbeya na mnafiki mkubwa wewe kila kukicha unaizungumzia Yanga SC na kuitakia mabaya ulaaniwe daima tumechoshwa na tabia yako ya umbeya umbeya. Sema na Kuhusu Simba SC basi tujue kweli wewe ni mbobezi katika kufukunyua mambo kuliko kila kukicha unaizungumzia Yanga SC Narudia tena yeyote hasa wewe anayeizungumzia na kuitakia mabaya Yanga SC alaaniwe daima.GSM binafsi tena hapa hapa JamiiForums nakumbuka nilianzisha Uzi Kuwaonya kuhusu Kumleta Yanga SC Haji Manara nikawaambia kuwa mmeandaa Bomu ambalo litakuja Kulipuka na Kuwagharimu Yanga SC na sasa yametimia.
Kamarada (Comrade) wangu (Kitasnia) Msomi Mwerevu Hassan Bumbuli nawe nilikuonya hapa hapa JamiiForums kuwa kutokana na ule ujio wa Haji Manara hapo Yanga SC kwa Uweledi wako na Hadhi yako ungeachana tu na Yanga SC na urejee zako MWANANCHI ( MCL ) hasa katika Gazeti lako la Mwanaspoti lakini ukanipuuza na sasa yametimia kwani nilichokitabiri Kwenu kimetimia.
Hopeless ( Mpuuzi ) Haji Manara wala sitopoteza muda mwingi nawe kwani nawe nilikuonya na Kukuambia kuwa Kitendo chako cha Kuwashambulia (tena personally kabisa) akina Mohammed Dewji (Mwekezaji Simba SC) na Barbara Gonzalez (CEO Simba SC) halafu Wao wanakunyamazia ni Ishara tosha ya Laana Kubwa na Mbaya itakayokutafuna na sasa nilichokitabiri Kimetimia.
Kamarada (Comrade) Hassan Bumbuli hivi unajisikiaje Nwenzako Haji Manara Kununuliwa Gari jipya aina ya PRADO, kuhamishwa kutoka Mikocheni alikokuwa akiishi mwanzo na sasa akipangiwa Nyumba Slip Way Masaki na akikuzidi Mshahara mara 15 wakati Kazi Kubwa na Nyingi za Yanga SC (hasa zile za Kiutendaji) zinafanywa na Wewe tu?
Huenda pia (Kamarada Hassan Bumbuli) ile laana ya Kumtukana vibaya Mtendaji Mwenzako (aliyekuwa Mhamasishaji) wa Yanga SC Antonio Nugaz ikawa inaanza Kukutafuna na Kukuumiza kwani kiukweli hukupaswa Kumtusi vile na nakumbuka pamoja na Kumtukana kote kule (Nugaz) bado alikuomba Radhi yaishe ukakataa na mwishowe akasema anamuachia Mwenyezi Mungu na sasa Mola/ Maulana nae ameanza Kumjibia.
Hata hivyo Kamarada (Comrade) Hassan Bumbuli nikushukuru tu kwa zile Video Mbili ulizomtumia (mpostia) Hajj Manara akiwa Dubai (Uarabuni) Kwao na Gharib Said Mohammed (GSM) huku Kaka yake 'akiupiga mwingi' kwa Manara wakiwa Wamesimama katika Hafla ya Kifamilia na ile ya Juzi kule Kisiwani Zanzibar aliyokuwa akimlazimisha Kumvuta karibu Injinia Hersi Said na Injinia akawa anakataa hali iliyopelekea jana katika Mchezo wenu dhidi ya Azam FC Injinia Hersi amkimbie na amkwepe Manara kwa Kukaa nae karibu.
Niliwahi kuwaambieni wana Yanga SC (wa hapa Jamvini JamiiForums) kuwa kama kuna Kazi rahisi na nyepesi Kwangu basi huwa ni kupata Habari Ngumu na zilizojificha kabisa za Kuihusu Yanga SC kama Timu, Wachezaji wake na mpaka Watendaji wake kwani huko nina Watu wengi wengi 'very Loyal' Kwangu na huwa hawanifichi Jambo lenu kama hili la Leo na yaliyopita.
Najua Kesho au Keshokutwa au huko mbeleni mtajitahidi Kukanusha hili ila nami GENTAMYCINE nawaambia kuwa nina 'Skendo' yenu nyingine ila kwa sasa naiweka (nawaweka) Kiporo nasubiri ama Mfungwe au Mtoke Sare na Coastal Union FC Jumapili hii (ijayo) kule Mkoani Tanga ili mkianza Kuvurugana (Kugombana) tu basi nami nikoleze Moto wangu kwa Kuiweka hadharani kwani 'Unyama Unyaman' kwa sasa.
Mtapata tabu sana kwa umbeya wenu na litimu lenu litafungwa na kutoa sare mpaka mkome kwenye ligi,ASFC na Shirikisho.Timu lenu litakuwa vululu vululu msimu kwa msimu kuanzia msimu huu 2021/2022Bumbuli anamwambia msukule anapelekwa arabuni kushikwashikwa matako na mabwana zake.
Hii kauli ya Bumbuli imenifikirisha sana.
Bado unatembea mitaani,au kwaile mnatumia utambulisho bandia?Asante Mkuu ila hii mbona ndogo tu kuna Kubwa lao subiria Jumapili ama Wafungwe au watoke Sare na Coastal Union FC ya Tanga pale Mkwakwani Stadium ambapo najua Watavurugana na Mgogoro kuanza ambapo nami sasa ndipo hapo hapo naiweka Hadharani ili Waparaganyike zaidi kisha Waharibu Mechi zao zote za NBC Premier League na zile za ASFC.