Hassan Bumbuli naye out Yanga,pole sana!

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Sasa ni rasmi Hassan Bumbuli out,pole sana ulijitahidi kukomaa ila waoi bwana

Jana kapigiwa simu na GSM kuwa aanze kukusanya virago tayari kukabidhi ofisi kwa Taji Liundi

Taji Liundi ni mbobezi katika hiyo sekta lakini yeye na Bumbuli siasa za mpira ni ngumu kwao .

Simba na Yanga zinataka
wahuni fulani na watoto wa mjini na sio walokole kama Bumbuli na Taji
 
Source of this news ni ipi?
 
Mo alipokuwa anachukua 49% Simba watu waliponda.

GSM wao wakati Yanga wanalia njaa wakasema kuchukua percentage ni unyonyaji wao wanasaidia ,GSM anachukua Yanga bila kuweka hisa,viongozi wao wamewapenyeza viongozi wao tayari na kuteka uongozi ,kilalaheri wananchi
 
Nilizipatapata kwa juu juu, Tate Mkuu popote ulipo njoo utujuze mna fukuto gani na GSM?
Hata ungekuwa ni wewe ukapewa urais wa kitu chochote muda huu! Ungefanya tu mabadiliko, ili kuunda timu yako unayo ikubali zaidi. Hivyo hata ikitokea akatafutwa mchawi, bado hatapatikana.

Na bahati mbaya hivyo vyeo vyote ni vya kuteuliwa! Vingekiwa ni vyeo vya kuchaguliwa, labda tungesema kuna walakini. Hata wakina Dismas Ten waliondolewa Yanga, siyo kwa sababu walikuwa hawafai! La hasha. Ni kwa sababu iliingia serikali mpya ya akina Mshindo Msolla.
 
Hapa umejibu kwa uhalisia wa mambo yalivyo.Ndugu yangu Joseverest soma hili jibu kisha turudi kwa ile mada nyingine,nadhani litasaidia kupanua wigo wa mjadala wetu.
 
Mo alipokuwa anachukua 49% Simba watu waliponda.

GSM wao wakati Yanga wanalia njaa wakasema kuchukua percentage ni unyonyaji wao wanasaidia ,GSM anachukua Yanga bila kuweka hisa,viongozi wao wamewapenyeza viongozi wao tayari na kuteka uongozi ,kilalaheri wananchi
GSM ni watoto wa mjini wahuni wale kama wameishaipora yanga kimafia bila hata kuweka senti moja,ukiwafuatilia GSM tangu enzi za home shopping centre na silent ocean utaelewa hawa ni watu wa aina gani
 
Mimi nasubiri nimsikie Msola kama ana lolote la kusema.

Au labda tumtafute popote alipo tumwambie "kama una la kusema sema sasa au ukae kimya milele".
 
Yanga Wanampiga Vita Manara Kijasusi Kulipiza Mitusi Yake alipokuwa Simba.... !
Wanamuahidi wataandamana mpaka Ikulu....Basi Yeye anaingia kingi anaita press kubwabwaja hlf Kifuatacho Yanga Wananyuti anabaki peke yake..!

Utopolo msimfanyie hivyo Mwenzenu.
 
Kwahiyo yanga yetu imeshatekwa na wanyonyaji bila kupepesa macho?
 
Back
Top Bottom