Hassan Bumbuli naye out Yanga,pole sana!

Hassan Bumbuli naye out Yanga,pole sana!

Hata Manara kazi yake imeisha atapigwa vita ya kisayansi aondoke sababu ni uncontrollable risk.
Na kwa tabia za Manara simuoni akifanya kazi chini ya Taji Liundi.Kamati ya maadili imewarahishia sana Yanga kumwondoa kwenye mfumo wao bila lawama.
 
Mimi nasubiri nimsikie Msola kama ana lolote la kusema.

Au labda tumtafute popote alipo tumwambie "kama una la kusema sema sasa au ukae kimya milele".

Hakika atachagua "kukaa kimya milele".Usidhani yalikuwa maamuzi rahisi kuamua kujitoa kwa mbio za uraisi.
 
Hata ungekuwa ni wewe ukapewa urais wa kitu chochote muda huu! Ungefanya tu mabadiliko, ili kuunda timu yako unayo ikubali zaidi. Hivyo hata ikitokea akatafutwa mchawi, bado hatapatikana.

Na bahati mbaya hivyo vyeo vyote ni vya kuteuliwa! Vingekiwa ni vyeo vya kuchaguliwa, labda tungesema kuna walakini. Hata wakina Dismas Ten waliondolewa Yanga, siyo kwa sababu walikuwa hawafai! La hasha. Ni kwa sababu iliingia serikali mpya ya akina Mshindo Msolla.
Mbna umekuwa mpoleeeee ghaflaaaa shougaaa ang?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yajayo yanaliza zaidi, je uko tayari??

Byuti. Byuti.

Wayemen koko wanalichukua jangwa km lao vile.

Dj waleteeeee.
 
Back
Top Bottom