Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Na kwa tabia za Manara simuoni akifanya kazi chini ya Taji Liundi.Kamati ya maadili imewarahishia sana Yanga kumwondoa kwenye mfumo wao bila lawama.Hata Manara kazi yake imeisha atapigwa vita ya kisayansi aondoke sababu ni uncontrollable risk.