Source of this news ni ipi?Sasa ni rasmi Hassan Bumbuli out,pole sana ulijitahidi kukomaa ila waoi bwana
Jana kapigiwa simu na GSM kuwa aanze kukusanya virago tayari kukabidhi ofisi kwa Taji Liundi
Taji Liundi ni mbobezi katika hiyo sekta lakini yeye na Bumbuli siasa za mpira ni ngumu kwao .
Simba na Yanga zinataka
wahuni fulani na watoto wa mjini na sio walokole kama Bumbuli na Taji
Source of this news ni ipi?
Tupo tayariYajayo yanafurahisha je mko tayari?
Hata ungekuwa ni wewe ukapewa urais wa kitu chochote muda huu! Ungefanya tu mabadiliko, ili kuunda timu yako unayo ikubali zaidi. Hivyo hata ikitokea akatafutwa mchawi, bado hatapatikana.Nilizipatapata kwa juu juu, Tate Mkuu popote ulipo njoo utujuze mna fukuto gani na GSM?
Hapa umejibu kwa uhalisia wa mambo yalivyo.Ndugu yangu Joseverest soma hili jibu kisha turudi kwa ile mada nyingine,nadhani litasaidia kupanua wigo wa mjadala wetu.Hata ungekuwa ni wewe ukapewa urais wa kitu chochote muda huu! Ungefanya tu mabadiliko, ili kuunda timu yako unayo ikubali zaidi. Hivyo hata ikitokea akatafutwa mchawi, bado hatapatikana.
Na bahati mbaya hivyo vyeo vyote ni vya kuteuliwa! Vingekiwa ni vyeo vya kuchaguliwa, labda tungesema kuna walakini. Hata wakina Dismas Ten waliondolewa Yanga, siyo kwa sababu walikuwa hawafai! La hasha. Ni kwa sababu iliingia serikali mpya ya akina Mshindo Msolla.
Well yupo sahihi mkuu sikatai hapoHapa umejibu kwa uhalisia wa mambo yalivyo.Ndugu yangu Joseverest soma hili jibu kisha turudi kwa ile mada nyingine,nadhani litasaidia kuoanua wigo wa mjadala wetu.
Manara hawezi kufanya kazi kwenye repurtable organisationHata Manara kazi yake imeisha atapigwa vita ya kisayansi aondoke sababu ni uncontrollable risk.
GSM ni watoto wa mjini wahuni wale kama wameishaipora yanga kimafia bila hata kuweka senti moja,ukiwafuatilia GSM tangu enzi za home shopping centre na silent ocean utaelewa hawa ni watu wa aina ganiMo alipokuwa anachukua 49% Simba watu waliponda.
GSM wao wakati Yanga wanalia njaa wakasema kuchukua percentage ni unyonyaji wao wanasaidia ,GSM anachukua Yanga bila kuweka hisa,viongozi wao wamewapenyeza viongozi wao tayari na kuteka uongozi ,kilalaheri wananchi