Hassan Dilunga HD amejimaliza kisoka kwenda JKT Tanzania

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Hivi nyie wachezaji wa bongo anawashauri nani? Yaan uikache timu inayokwenda kushiriki Super League, timu inayokwenda pre season ulaya, timu inayocheza ligi ya mabingwa unaenda kuchezea timu ambayo kila baada ya misimu 2 lazima ishuke daraja.Kweli akili hiyo?

Wewe Dilunga kwa umri uliokuwa nao, ulikuwa na msimu mmoja t wa kumaliza career yako ya soka, huko JKT ushapoteza kaka.

Kama unaona kwa kufanya hivyo unaikomoa Simba umejidanganya
 
Ulitaka aende wapi
 
Duuu polesana dilungaaa
 
Unamlaumu vipi..je kama hakuwa kwenye mipango ya timu ya Simba? Kila mtu na maisha yake usimpangie.
Hivi nyie wachezaji wa bongo anawashauri nani? Yaan uikache timu inayokwenda kushiriki Super League, timu inayokwenda pre season ulaya, timu inayocheza ligi ya mabingwa unaenda kuchezea timu ambayo kila baada ya misimu 2 lazima ishuke daraja.Kweli akili hiyo?

Wewe Dilunga kwa umri uliokuwa nao, ulikuwa na msimu mmoja t wa kumaliza career yako ya soka, huko JKT ushapoteza kaka.

Kama unaona kwa kufanya hivyo unaikomoa Simba umejidanganya
 
Huyu jamaa anaanzishaga Uzi akijiskia tu
Hawana mpango nae afanyeje na huko jkt ana nafasi?

Wewe hujui HD yanga tulimtemaga akaenda mtibwa akashine ndo simba kumchukua?

Hd anaenda kurudisha makali soon atarudi team kubwa.
 
Kule ataenda kupata muda mwingi wa kucheza hivyo kurudisha makali yake..kuliko angebaki Simba ushindani wa namba ni mkubwa sana

Ndio ukweli kijana mwenzetu mtanzania mwenzetu amekaa muda mrefu majeruhi tena akae benchi? Bora acheze huko jkt atapata time ..
 
Hivi nyie wachezaji wa bongo anawashauri nani? Yaan uikache timu inayokwenda kushiriki Super League, timu inayokwenda pre season ulaya, timu inayocheza ligi ya mabingwa unaenda kuchezea timu ambayo kila baada ya misimu 2 lazima ishuke daraja.Kweli akili hiyo?

Wewe Dilunga kwa umri uliokuwa nao, ulikuwa na msimu mmoja t wa kumaliza career yako ya soka, huko JKT ushapoteza kaka.

Kama unaona kwa kufanya hivyo unaikomoa Simba umejidanganya
angeenda wapi?
 
Kila mchezaji anatamani kuwa anacheza. Na kiwango huonekana na kuimarika pale ambapo mchezaji anapata muda wa kucheza.

Benchi linaua vipaji sana. Dilunga, kwa uwezo na kipaji chake, anapaswa kwenda timu atakayocheza. JKT Tanzania ni sahihi kwake.
 
Back
Top Bottom