Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kwani alitakiwa na Simba akakataa?Kama unaona kwa kufanya hivyo unaikomoa Simba umejidanganya
Ulitaka aende wapiHivi nyie wachezaji wa bongo anawashauri nani? Yaan uikache timu inayokwenda kushiriki Super League, timu inayokwenda pre season ulaya, timu inayocheza ligi ya mabingwa unaenda kuchezea timu ambayo kila baada ya misimu 2 lazima ishuke daraja.Kweli akili hiyo?
Wewe Dilunga kwa umri uliokuwa nao, ulikuwa na msimu mmoja t wa kumaliza career yako ya soka, huko JKT ushapoteza kaka.
Kama unaona kwa kufanya hivyo unaikomoa Simba umejidanganya
Duuu polesana dilungaaaHivi nyie wachezaji wa bongo anawashauri nani? Yaan uikache timu inayokwenda kushiriki Super League, timu inayokwenda pre season ulaya, timu inayocheza ligi ya mabingwa unaenda kuchezea timu ambayo kila baada ya misimu 2 lazima ishuke daraja.Kweli akili hiyo?
Wewe Dilunga kwa umri uliokuwa nao, ulikuwa na msimu mmoja t wa kumaliza career yako ya soka, huko JKT ushapoteza kaka.
Kama unaona kwa kufanya hivyo unaikomoa Simba umejidanganya
Hivi nyie wachezaji wa bongo anawashauri nani? Yaan uikache timu inayokwenda kushiriki Super League, timu inayokwenda pre season ulaya, timu inayocheza ligi ya mabingwa unaenda kuchezea timu ambayo kila baada ya misimu 2 lazima ishuke daraja.Kweli akili hiyo?
Wewe Dilunga kwa umri uliokuwa nao, ulikuwa na msimu mmoja t wa kumaliza career yako ya soka, huko JKT ushapoteza kaka.
Kama unaona kwa kufanya hivyo unaikomoa Simba umejidanganya
Huyu jamaa anaanzishaga Uzi akijiskia tu
Hawana mpango nae afanyeje na huko jkt ana nafasi?
Wewe hujui HD yanga tulimtemaga akaenda mtibwa akashine ndo simba kumchukua?
Hd anaenda kurudisha makali soon atarudi team kubwa.
Ndio ukweli kijana mwenzetu mtanzania mwenzetu amekaa muda mrefu majeruhi tena akae benchi? Bora acheze huko jkt atapata time ..Kule ataenda kupata muda mwingi wa kucheza hivyo kurudisha makali yake..kuliko angebaki Simba ushindani wa namba ni mkubwa sana
angeenda wapi?Hivi nyie wachezaji wa bongo anawashauri nani? Yaan uikache timu inayokwenda kushiriki Super League, timu inayokwenda pre season ulaya, timu inayocheza ligi ya mabingwa unaenda kuchezea timu ambayo kila baada ya misimu 2 lazima ishuke daraja.Kweli akili hiyo?
Wewe Dilunga kwa umri uliokuwa nao, ulikuwa na msimu mmoja t wa kumaliza career yako ya soka, huko JKT ushapoteza kaka.
Kama unaona kwa kufanya hivyo unaikomoa Simba umejidanganya
Akisharudisha makali anaenda wapiKule ataenda kupata muda mwingi wa kucheza hivyo kurudisha makali yake..kuliko angebaki Simba ushindani wa namba ni mkubwa sana
SijuiAkisharudisha makali anaenda wapi
Awaulize akina Messi na C7 wanamalizia wapi soka laoDah! Wabongo tunapenda kupangiana maisha mpaka basi!
Yanga walivomtema kabla ya kwenda mtibwa sugar alienda hapohapo jkt ruvuHuyu jamaa anaanzishaga Uzi akijiskia tu
Hawana mpango nae afanyeje na huko jkt ana nafasi?
Wewe hujui HD yanga tulimtemaga akaenda mtibwa akashine ndo simba kumchukua?
Hd anaenda kurudisha makali soon atarudi team kubwa.
Atarudi tu akiwa strong jamaa alikuwa na kipaji sana atarudi .Yanga walivomtema kabla ya kwenda mtibwa sugar alienda hapohapo jkt ruvu