Hassan Dilunga wapi Unakwama Brother....

Fei toto mimi namuona mlaini sanaaaaaaaa, mechi za nguvu hawezi yule atakua anapumulia oxygen
We jamaa sijui mpira unauchukuliaje.....

Hiv auobagi mabeki na viungo pinzani wanvopata tabu kuuchukua mpira kwa Fey mpaka wabamchezea rafu....? Yule dogo ananguvu ndo maana unaona anashoot kutoka mbali.....!

Sema ni fundi kiasi kwamba unaeza kuzani mpira ni kitu rahisi rahisi....!
Jaribu kukaa na wachezaji watakwambia shughuli ya fey au Niyonzima ukipangiwa kumkaba!
 
Dilunga tangu atue Simba na kuonyesha uwezo mechi ya Nkana, kwasasa anachozingatia ni unyoaji mzuri wa PANKI
 
Hivi Samatta anatokea Kinondoni au Ilala?
 
Unanikumbusha canavaro alikuwa anajisifu kamkaba Etoo wakati tumeenda Cameroon tumefungwa goli mbili na zote kafunga Etoo lakini bado anajitapa alimzuia na waandishi wetu uchwara wanamuandika bila kuangalia uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…