Oxx
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 896
- 1,946
We jamaa sijui mpira unauchukuliaje.....Fei toto mimi namuona mlaini sanaaaaaaaa, mechi za nguvu hawezi yule atakua anapumulia oxygen
Hiv auobagi mabeki na viungo pinzani wanvopata tabu kuuchukua mpira kwa Fey mpaka wabamchezea rafu....? Yule dogo ananguvu ndo maana unaona anashoot kutoka mbali.....!
Sema ni fundi kiasi kwamba unaeza kuzani mpira ni kitu rahisi rahisi....!
Jaribu kukaa na wachezaji watakwambia shughuli ya fey au Niyonzima ukipangiwa kumkaba!