Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Gaidi aliyejifanya kuwa mwandishi wa habari, Hassan Masana, aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7 na ambaye aliongozana na magaidi hao naye ameangamizwa baada ya mashambulizi ya ndege za israel huko Khan younis kumjeruhi vibaya baada ikaripotiwa katutoka
Mwandishi huyu alikuwa na nafasi ya kuzuia mauaji hayo lakini alinyamaza na akashiriki kwa namna moja au nyingine. Leo hii majeshi ya Israel yamemlenga na kusababisha kifo chake.
Majeshi ya Israel yana mkono mrefu wakikukosa leo kesho wanakupata.