Idf inafanya Kazi nzuri sanaGaidi aliyejifanya kuwa mwandishi wa habari, Hassan Masana, aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7 na ambaye aliongozana na magaidi hao naye ameangamizwa baada ya mashambulizi ya ndege za israel huko Khan younis kumjeruhi vibaya baada ikaripotiwa katutoka
Mwandishi huyu alikuwa na nafasi ya kuzuia mauaji hayo lakini alinyamaza na akashiriki kwa namna moja au nyingine. Leo hii majeshi ya Israel yamemlenga na kusababisha kifo chake.
Majeshi ya Israel yana mkono mrefu wakikukosa leo kesho wanakupata.
View attachment 3295948
Wamepasua lile lile fuvu alilokuwa akikaza wakati Wayahudi wanauawa na wengine wanatekwa huku yeye jukumu lake alilokuwa amepangiwa na HAMAS likiwa ni kuchukua video clip.Gaidi aliyejifanya kuwa mwandishi wa habari, Hassan Masana, aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7 na ambaye aliongozana na magaidi hao naye ameangamizwa baada ya mashambulizi ya ndege za israel huko Khan younis kumjeruhi vibaya baada ikaripotiwa katutoka