Hassan Mwakinyo acha kututania

Bora huyo, sasa huyu Arnel Tinampay hata ukimgoogle unakutana na mauzauza, yaani jina halitambuliki, halafu Mwakinyo anataka kutuaminisha eti ni bondia mkubwa kisa anatokea kwa kina Pacquiao [emoji38][emoji38]
mwacheni apigane mkuu million90 siyo ndogo
 
Acheni mambo yenu bwana mayweather alipigana na McGregor ana historia gani katika boxing au hata yeye kabla ya kupigana na Sam Eggington alikuwa na status gani kubwa hasa kama mpinzani wake
Haha Mc Gregor ni superstar, alikuwa ndio Face wa UFC enzi hizo so ukipigana naye lazima mtengeneze hela ya kutosha ndicho alichoangalia Mayweather na Team yake, sasa huyo mfilipino wa Mwakinyo hata Google haimjui vizuri[emoji3][emoji3][emoji3]. Huyo Sam Eggigton naye alitafuta mpinzani aliyefikiri ni 'nyanya' ili anenepeshe cv yake ila Mambo yakawa si Mambo[emoji23]
 
Em tuache utani mkuu m90 ni pesa nyingi unaanzaje kuziacha
 
Em tuache utani mkuu m90 ni pesa nyingi unaanzaje kuziacha
Ni pesa nzuri kibongobongo, sema angetafuta mpinzani bora zaidi ili atengeneze njia ya kupiga hela nzuri zaidi huko mbeleni
 
Mwakinyo yuko slow sana, ngumi zinataka uwe fasta, mm sioni kama ni boxer mzuri hata kidogo, secondly, nadhani pia manager wake hana vision kabisa wala connection..
 
Mwenzake Dulla 'Mbabe' kachezea kichapo huko Uingereza, labda ndo maana anajaribu kutafuta wapinzani dhaifu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwakinyo ni overrated boxer uwezo wake ni wakawaida mno ila anapewa promo sana, kingine jamaa ana majivuno sana, nitafurahi sana akipigwa kwenye hilo pambano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…