Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili pia linaweza tokea kwa Mwakinyo akajikuta anamtengenezea mpinzani wake jina...Haha Mc Gregor ni superstar, alikuwa ndio Face wa UFC enzi hizo so ukipigana naye lazima mtengeneze hela ya kutosha ndicho alichoangalia Mayweather na Team yake, sasa huyo mfilipino wa Mwakinyo hata Google haimjui vizuri[emoji3][emoji3][emoji3]. Huyo Sam Eggigton naye alitafuta mpinzani aliyefikiri ni 'nyanya' ili anenepeshe cv yake ila Mambo yakawa si Mambo[emoji23]
Du !Na dadayako[emoji4]
Huwezi fikia level kubwa bila kupitia huko, hata kuomba mechi kubwa wanaangalia statistics za mapigano yakoAtaingiza zaidi akipigana na notable names
Majivuno ndio boxing yenyewe wewe unafikiri ngumi ni bongofleva. Ulikua unatambua Tyson, Ali (nakutajia majina marahisi sana) halafu Mayweather je? Unajua maana ya majivuno!?Mwakinyo ni overrated boxer uwezo wake ni wakawaida mno ila anapewa promo sana, kingine jamaa ana majivuno sana, nitafurahi sana akipigwa kwenye hilo pambano.
Kweli kila league na level yake....Mayweather alidaka US$180M ...(hundreds of tz billions) pambano moja tu huku Pacquiao akiondoka na M120$.....hapo bado pasu ya ushindi wa 60/40 wa $USD 300M.....Em tuache utani mkuu m90 ni pesa nyingi unaanzaje kuziacha
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeona aiseeMwenzake Dulla 'Mbabe' kachezea kichapo huko Uingereza, labda ndo maana anajaribu kutafuta wapinzani dhaifu[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1264146
Kibongo bongo m90 siyo mbaya kabisa kwa kuanziaKweli kila league na level yake....Mayweather alidaka US$180M ...(hundreds of tz billions) pambano moja tu huku Pacquiao akiondoka na M120$.....hapo bado pasu ya ushindi wa 60/40 wa $USD 300M.....