Hassan Mwakinyo acha kututania

Nilipanga kwenda kucheki ila siendi tena. In kama kwenda kwenye kigodoro fiesta
 
Hili pia linaweza tokea kwa Mwakinyo akajikuta anamtengenezea mpinzani wake jina...

Kwenye michezo kama hii ukitaka kunenepesha CV sharti upambane na aliye juu yako kuliko hawa ambao wako chini yako...

All in all kila la kheri kwake...
 
Mwakinyo ni overrated boxer uwezo wake ni wakawaida mno ila anapewa promo sana, kingine jamaa ana majivuno sana, nitafurahi sana akipigwa kwenye hilo pambano.
Majivuno ndio boxing yenyewe wewe unafikiri ngumi ni bongofleva. Ulikua unatambua Tyson, Ali (nakutajia majina marahisi sana) halafu Mayweather je? Unajua maana ya majivuno!?
 
Em tuache utani mkuu m90 ni pesa nyingi unaanzaje kuziacha
Kweli kila league na level yake....Mayweather alidaka US$180M ...(hundreds of tz billions) pambano moja tu huku Pacquiao akiondoka na M120$.....hapo bado pasu ya ushindi wa 60/40 wa $USD 300M.....
 
Kweli kila league na level yake....Mayweather alidaka US$180M ...(hundreds of tz billions) pambano moja tu huku Pacquiao akiondoka na M120$.....hapo bado pasu ya ushindi wa 60/40 wa $USD 300M.....
Kibongo bongo m90 siyo mbaya kabisa kwa kuanzia
 
Huwezi fikia level kubwa bila kupitia huko, hata kuomba mechi kubwa wanaangalia statistics za mapigano yako
Tayari yuko katika hatua ambayo kwa uhakika anaweza kupata pambano la walau waliopo kwenye top 50 ranking, hajataka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…