Nani kapigwa?Round moja chali
Jamaa anasema "staki kufia uwanjani "[emoji85][emoji85]Nani kapigwa?
Empty set mleHuyu Kaoneka hata sijamuelewa
amechezea vitasa vya mjendaHuyu Kaoneka hata sijamuelewa
Hakuna cha vitasa, alivyoanza tu nikaona hapa hamna boxer, kwanza hata rekodi yake inaonesha kagongwa mara14amechezea vitasa vya mjenda
Mkandawile amekubali yaisheHuyu Tony Rashid mzuri sana
Lugha ya malkia sio rafikiWhy you lose a knockout [emoji28][emoji28]
Pale unaposhtukizwa kuongea kizungu[emoji23][emoji23][emoji23], kwa kiswahili anauliza maswali mengi ila alivyoambiwa english please ameishia swali moja tena kwa broken English [emoji1][emoji1]Lugha ya malkia sio rafiki