Tv gani wako liveItakua saa nane usiku huu, maana saa hizi ni 01:36 na bado mapambano kama mawili kwa main event
Azam ndio wanaonyesha MkuuTv gani wako live
Jr[emoji769]
Jamaa amebugi sana, mimi nilivyomuona na suti nikafikiri lugha imoWhy you lose a knockout [emoji28][emoji28]
Poa poa MkuuUtanipa updates
Jr[emoji769]
Jamaa kaomba radhi watu wa Mbagala kwamba na ngumi zenyewe anastaafu, asije kufa uwanjaniJamaa anasema "staki kufia uwanjani "[emoji85][emoji85]
updates utazipata hapa hapa usilale tuUtanipa updates
Jr[emoji769]
Mungu sio Mungu wa wagomvi.Mungu ampe ushindi mwakinyo
Wangezitoa mwanzo kabisa [emoji34]Wanapoteza muda tu hizi salamu wangezitoa mwishoni
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
sasa boxing ni ugomvi?????Mungu sio Mungu wa wagomvi.
Tony ana rekodi nzuri sanaLeo nimepata majina mapya mawili ya kuyafuatilia, Juma Choki na huyu Tony Rashid
Check kwenye update matokeo yote yapo palewakuu vp nampepeche kashinda?
sasa boxing ni ugomvi?????
Inawezekana Mungu wake ni Mungu wa vita, Bwana wa MajeshiNiko macho
Jr[emoji769]