Hassan Mwakinyo ameshinda pambano lake dhidi ya Tshabangu Kayembe

Ila nimegundua watu wengi wanafatilia baasi tu. Ukimuuliza mara mwisho alienda kucheki ngumi lini kama hizi hajawahi wala hajui.

Ndio maana wengi wanaona wanapotezewa mda na hizo preliminaries.

Anyways huwa kunakua na mwanzo siwalaumu sana. Afterall mlimani city ni mahala pa kuuzia sura. So wauza sura kibao.
Maana watu tulishawahi kwenda magomeni, diamond jubilee, uwanja wa sabasaba mara kadhaa kuangalia hizi ndondi.

Kwa wapenda boxing hizo preliminaries zina enjoyisha sana.
 
Kifupi ni hivi, wanajeshi wanabonda aisee...wamekomaa kwa hiyo wanapewa mibomba lakini wanazidi ku-attack kitu kinachofanya raia waogope
 
Bora nifatilie show ya Kiba huko kigoma. Siasa Siasa Siasa...inachosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…