Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
- Thread starter
- #101
Kiduku na Dullah mbabe watapambana tarehe 28Mkuu huyu Dulla kiduku mbona sijaona hapa matokeo yake au ninamakengeza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiduku na Dullah mbabe watapambana tarehe 28Mkuu huyu Dulla kiduku mbona sijaona hapa matokeo yake au ninamakengeza?
Dah we jamaa ubarikiweKiduku na Dullah mbabe watapambana tarehe 28
Nani kapigwa?
Na mm nimesikia [emoji1]Hahahaha nasikia Peoples..... Watu wameitikia kwa raha sana hadi hapa nimekaa!!
Mbona kapendeza, wanamzomeaje...upo uwanjani mkuu?Juliana Shonza unatupotezea muda, huo sio mkutano ni tukio la ngumi, angalia sasa unnavyozomewa
wanajeshi sio watu wazuriKifupi ni hivi, wanajeshi wanabonda aisee...wamekomaa kwa hiyo wanapewa mibomba lakini wanazidi ku-attack kitu kinachofanya raia waogope
Wanapigana tar 28 mwezi huuMkuu huyu Dulla kiduku mbona sijaona hapa matokeo yake au ninamakengeza?
Kashindawakuu vp nampepeche kashinda?
sasa boxing ni ugomvi?????
Ila leo nimeona boxing nzuri kuliko vitasa ya mwaka jana, kumbe tuna watu wazuri, Azam waendelee kutoa promo. Mwakinyo sasa asituaibishe, maana mapambano ya utangulizi mengi yamefurahishaTony ana rekodi nzuri sana
Nimefurahi wamepewa pambano lao, sio kuwa undercardKiduku na Dullah mbabe watapambana tarehe 28
HapanaMbona kapendeza, wanamzomeaje...upo uwanjani mkuu?
Sio kweliKifupi ni hivi, wanajeshi wanabonda aisee...wamekomaa kwa hiyo wanapewa mibomba lakini wanazidi ku-attack kitu kinachofanya raia waogope