Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Hapana.. hata commentators walikuwa wanasema He is strong and dangerous.Mwakinyo ana ngumi nyepesi sana na hamudu kasi na nguvu ya huyu Mzungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana.. hata commentators walikuwa wanasema He is strong and dangerous.Mwakinyo ana ngumi nyepesi sana na hamudu kasi na nguvu ya huyu Mzungu
Sema kama vipi tu aombe marudiano afu aje bongo nasi tum revenge
Hii ndio inayonipa mashaka mimi mpaka kufikiria kuwa kuna njama zilizofanyika nje ya uwanjaIla nahisi hili pambano ni la mchongo, miguu ya Mwakinyo Leo utafikiri kabemendwa bana
Bolo Yanki 🤣🤣🤣Mzungu amekuja ulingoni na mbinu za cyboarg aliyempulizia viunga flani Van damme
Umesikia kutoka wapi...Nasikia Mwakinyo kauza mechi, kahaidiwa pesa ndefu sana na hiyo timu ya Smith
Hapo sawaMwakinyo alishaanza kumdhibiti Smith ila mguu ukamharibia, ajipange Kwa rematch
Anhaa hivi alikuwa ni bolo young yule mwenye ki chest kama matako ya mtoto?Bolo Yanki 🤣🤣🤣
au hirizi yake ilikaaa vibaya? 😂😂😂Pambano Halielewekii Hata Smith Haelewi
Na ambao hatujaangalia ndio kabisaaKifupi GAME HAIJAELEWEKA hata Wapiganaji Hawajaelewa
You're NEXT.Anhaa hivi alikuwa ni bolo young yule mwenye ki chest kama matako ya mtoto?
Upo sahihi. Tena round ya 3 kacheza vizuri sana.Ndio, hata mwanzo inaonekana alianza vizuri na dalili za ushindi zilionekana ingawa sijafatilia kwa TV