mtubika
Member
- Aug 25, 2022
- 16
- 21
Eee bwana mkuu mi mwenyewe baada ya kuona pambano limeisha ilinichukua si chini ya dk 10 kama si 15 kuyawaza hayo. Kulikoni jamaa mwanzo alionekana anammudu mshikaji lkn ghafla alianza kubadilika kana kwamba amemwagiwa upupu. Kiujumla mwenzentu ameonyesha udhaifu mkubwa mnoo kama umeibiwa begi airport na unajua nchi uliyoingia una mpinzani wako iweje ndiko huko unawatumia jamaa wa humo kukupa vifaa vya kutumia kupambana na mpinzani wako???.ile bukta yenye jina champez aliitoa wapi mkuu?
Maana ninachojua upambanaji wa kukabiliana na adui inabidi utumie vyote nguvu, akili, MAARIFA, saikolijia iwe ya hali ya juu, ikiwezekana ukishauriwa ufanye maamuzi ya kwako. Any way tumuombee maana ushindi wake ni kupepeprusha bendera ya nchi yetu.[emoji188][emoji188]