Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Unataka kusema kuwa katika round tatu za mwanzo Kuna round mwakinyo hajashinda???


Off course Smith alikuwa anabuy time ili mwakinyo achoke then ampige kirahisi Ila mwakinyo alicheza vizur Sana hizo round tatu za mwanzo
kwa jicho la kishabiki uliona hivyo ila kiufundi mwakinyo alianza kupoteana ndio maana at the end alishindwa pambano kama alikuwa vizuri kama unavyosema asingeshindwa pambano. #matokeo
 
kwa jicho la kishabiki uliona hivyo ila kiufundi mwakinyo alianza kupoteana ndio maana at the end alishindwa pambano kama alikuwa vizuri kama unavyosema asingeshindwa pambano. #matokeo
Ameshindwa pambano kwa sababu zake alizozitoa(whether ni za kweli au no za uongo) lakini siyo kwa kupigwa
 
Nimejaribu kuangalia baadhi ya fights zake huyu jamaa nae ni hatari...halafu sugu. Unapiga anakuja tuu
Sema jana Mwakinyo alikuwa anashinda sijui nini kimetokea.. itakuwa aliumia mguu nadhani
 
mkiangalia saikolojia ya Mwakinyo akiwa anaingia uwanjani kulikuwa na tafsiri sio nzuri, nimehisi vitu vitatu baada ya utetezi wake.

1. Toka mwanzo alikuwa na serious ankle problem ambayo ilimtesa kabla ya pambano akashindwa kudeclare akaona aendelee kupambana kiume aone mwisho wake, kadili muda ulivyooenda ikawa mbaya zaidi, ukimuangalia akiwa ameweka stence yake orthodox utaona kama mguu wa kulia anauvuta na anauweka mbali sana.

2. Inawezekana alilazimishwa kufanya match fixing ili Liam apande rank aweze kupigana na high ranking boxers, akawa hana namna maana wenye mchezo aka system ndio wanataka hivyo otherwise wanakulostisha mazima kwenye ulimwengu wa boxing, Mwakinyo akaona hana namna inabidi aingie tu kiume achukue mpunga huku akijua toka mwanzo nini kinafuata.

3. Begi la Mwakinyo lililosahaulika inawezeka lilikuwa na "vitendea kazi vyetu vya kiswahili" ( waAfrica tunafahamu hizi mambo), nayeye anafahamu bila hivyo hatoboa ndio maana alikosa raha maana ndio imani yake hiyo.
Technically ukimuangalia hiyo round ya nne saikolojia yake ni kama mtu aliyechanganyikiwa either kwa kuona maluweluwe na hata alivyokuwa anaingia saikolojia yake ilikuwa haipo uwanjani.
 
Mwakinyo leo anakula TKO ya mapema tu...Liam sio bondia wa mchezo mchezo kama hao kina katompa..Liam ni aina ya pressure boxer...hakupi gape kama ilivyo kwa Saul "Canelo" alvarez au GGG "Triple G" Gonad Golovkin
Uko vzr mkuu
 
Nimetazama pambano kiukweli tu mzungu anapigana very professional na ana experience kubwa, mwakinyo alianza kupoteana round ya pili hasira zilimtamalaki akaanza kurusha ngumi za hovyo... japo tangu anaingia ulingoni hali yake ya kisailojia na nguvu ya kiroho ilikuwa down sana, mwakinyo kwenye hili ajifunze tu aache maneno mengi, wazungu wana IQ kubwa sana hasa kwenye michezo michafu kama hii.. achaane na hilo pambano maana mzungu kashamsoma vizuri sana kwenye ''play how' 'akirudi tena anadundwa tena vibaya sana. Boxing ni mchezo flani unaotumia nguvu na akili nyingi sana, usipokuwa na Hasira unashinda kila mechi, ukiwa na hasira unachakazwa vibaya sanaaaaa...
mwakinyo alikataa kushinda pambano hili kwa sababu zake mwenyewe hakuna round zote alikuwa anaongoza
 
Saikolojia ya Mwakinyo akiwa anaingia kwenye ring na kabla ya pambano kuna kitu inaongea, tusimamie hapo kwanza.
 
Mwakinyo hovyo kabisa, mzito kama mbeba zege, boxing you have to be fast, quick and changing stances any time, sasa mtu anarusha ngumi slow alafu uzito wa kawaida, utafikiria sio professional boxer..!!
Kapigwa kwa ujinga wake, kukaa kaa chini ujinga mtupu, ngumi ni vita kali, piga mtu anye mavi, akojoe kuleee, TKO, uchukue ushindi, refa hana msaada, don't depend on referee, piga mtu, pigaa afe, kata taya zote, i wish niwe mm, napiga ngumi hadi mm mwenyewe najiogopa, napigaa kata funua, taya yote nje, pumbaf Mwakinyo. Twaha Kiduku tu ndio boxer hapa Tz wa kimataifa, wengine wote hakuna.
 
Nahisi vile viatu vina telez,ndio maana mguu ukashtuka. Ila mzungu wa kawaida tena kama zile round za mwamzo kwangu Mwakinyo ndiye alikuwa vizuri.
Hakuna cha viatu kuteleza Hassan hana mazoezi ya ankle na ukiangalia hana nguvu miguuni, fuatilia mapambano yake, kaamua kujaa juu tu chini Kapanyima mazoezi. Hana stance
 
Anaye Weza kutuwakilisha Kimataifa ni Diamond Platnumz Peke Yake…

TS tumepigwa Uganda

Mwakinyo Naye Chali

Laana Ya Mwigulu Nchembi Hiiii Alisema Tuhamie Burundi
Tumia akili. Diamond anaendaga mashindano gani ya kimichezo? Mbona BET na MTV mlipigwa. Au akiendaga kimataifa anashindania nini nanani
 
Kapoteza? Au wamepiga Fitina...

Unampigaje mtu yupo kwenye Kamba?

Unampigaje mtu amenyoosha mkono juu?
Hujui sheria za boxing wewe, halafu mwakinyo aallimoprovooke jamaa, round ya pili sijui 3 alliimpiga jamaa wkati kengele ilisshaalliiaa
 
Kaniuudhi mno Mwakinyo, nilipoteza usingizi wangu bure, alikua vizuri round za mwanzo ghafla round ya 4 kapagawa
 
Inawezekana jamani.Tujifunze kwamba siyo kila jambo(hasa kwa mastaa) tulichukulie kama lilivyo eti!
 
Kwanza naomba kufahamu, kumbe hadi Uingereza mtu anapoteza begi airport?

Je, ilikuwa haiwezekani Mwakinyo awaambie mapema wenyeji wake kwamba hatacheza mpaka apate begi lake mana kuna vitu muhimu?

Kwa jinsi Wazungu wanavyojali wateja wao ambao wameishakata kiingilio, nina uhakika begi la Mwakinyo lingetafutwa na kupelekewa hata kwa ndege ya kukodi
Uswahili mwingi. Hizo siku 2 alikuwa anafanya mazoezi kwa kutumia viatu gani?

Na hapo Liverpool nina uhakika angeweza kununua MWENYEWE viatu vingine kutoka dukani maana siyo kama yupo Sumbawanga ndani ndani. Kwa nini professional boxer usubiri viatu vya kupewa?
 
Back
Top Bottom