Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄🙄🤨Kifundo cha Mguu
Wewe uliongea ukweli.Tatizo letu wabongo tunatabia yakuweka ushabiki bila kujiuliza mpinzani yukoje.Naweza kusema toka mwakinyo ameanza kupigana huyu ndo bondia mkali kakutana naye.Kwasababu jamaa ni mvumilivu na anapiga ngumi kwa utulivu na mahesabu.Sijajua kilichomfanya mwakinyo achuchumae mapema ila bado naamini hili pambano bado mzungu angeshinda.Hizo stori nyingine tunajifariji tu.Nadhani mmesadiki yale niliyoyasema kabla ya mpàmbano huo
KabondwaMatokeo tafadhali...
Unaona mababu wanavopigaMzungu anakaa mapema, huyo ni babu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule ni kama baba yake ivo aliona aibu kupigana naeWewe uliongea ukweli.Tatizo letu wabongo tunatabia yakuweka ushabiki bila kujiuliza mpinzani yukoje.Naweza kusema toka mwakinyo ameanza kupigana huyu ndo bondia mkali kakutana naye.Kwasababu jamaa ni mvumilivu na anapiga ngumi kwa utulivu na mahesabu.Sijajua kilichomfanya mwakinyo achuchumae mapema ila bado naamini hili pambano bado mzungu angeshinda.Hizo stori nyingine tunajifariji tu.
Hivi huwa ni visingizio vya sisi watu weusi.Wenzetu wazungu wakipoteza mpambano huwa wanakubali wamepoteza ili akajipange tena ila sisi sasa lazima tulete visingizio na sababu zisizo na msingi.Kuna jamaa anaitwa Wilder alipigwa ngumi zakutosha akaenda chini alafu akasingizia Nguo alizopewa zilikua nzito.Sasa unajiuliza alikua wapi kulijua hilo au hadi wakishapigwa ndo wanasikia uzito au kiatu kibaya.[emoji849][emoji849][emoji2955]
Kuna nini hapo mzee Mwakinyo unaenda vitani unaleta amani wakati unaambiwa 'usilete amani wakati wa vita utakufa mapema', bita ni bita Mura
Kwanini usingetafuta mwenyewe viatu vyako vingine vinavyokukaa vizuri hadi ukubari vya kupewa na mtu ambae ni mpinzani wako nani aliekushauri huo ujinga?, 'cha kupewa hakishibishi'
Ona unavyojitia Aibu nani ataelewa maelezo ya kitoto km hayo
Mwakinyo najua unasoma huu uzi nani aliekushauri huo ujinga?
That's trueHivi huwa ni visingizio vya sisi watu weusi.Wenzetu wazungu wakipoteza mpambano huwa wanakubali wamepoteza ili akajipange tena ila sisi sasa lazima tulete visingizio na sababu zisizo na msingi.Kuna jamaa anaitwa Wilder alipigwa ngumi zakutosha akaenda chini alafu akasingizia Nguo alizopewa zilikua nzito.Sasa unajiuliza alikua wapi kulijua hilo au hadi wakishapigwa ndo wanasikia uzito au kiatu kibaya.
Kwa jana alikuwa vizuri, achana ni history angalia current form ya muhusika kwa siku ya jana si mfariji bali tumeona.Kwahiyo wewe huyo mwakinyo unamwona ni mzuri kuliko huyo mzungu?.Hebu tuache kujifariji bana.
channel hii namuona Mwigulu anatoa ufafanuzi kuhusu tozo
NifeMzungu anakaa mapema, huyo ni babu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
UmepatiaMwakinyo leo anakula TKO ya mapema tu...Liam sio bondia wa mchezo mchezo kama hao kina katompa..Liam ni aina ya pressure boxer...hakupi gape kama ilivyo kwa Saul "Canelo" alvarez au GGG "Triple G" Gonad Golovkin
Keshaliwa makotaHili pambano Mwakinyo ashinde tu
Kuna watu wamestake pesa ya urithi Mwakinyo ashinde
Atajua yeye sisi tunapiga tuMwakinyo aliishaumia mguu tayari na hiyo ndo sababu ya kupigwa.
Source ya habari yako?Nasikia Mwakinyo kauza mechi, kahaidiwa pesa ndefu sana na hiyo timu ya Smith
Acha ujinga weweNasikia Mwakinyo kauza mechi, kahaidiwa pesa ndefu sana na hiyo timu ya Smith
Ananyoosha ya nini asingetokeq kabisaKapoteza? Au wamepiga Fitina...
Unampigaje mtu yupo kwenye Kamba?
Unampigaje mtu amenyoosha mkono juu?
Upendeleo gani mtu kakaa yeyeWazungu wenyewe niko nao hapa wamemaind kiseng.e huu upendeleo,kumbe haya majitu nayo maoga sana