Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Screenshot_20220904-010839.jpg

Eti ana miaka 27
 
Ndondi ukiwa nyumbani na ukafanikiwa kutoboa raundi zote wewe moja kwa ni mshindi ata kama uko mwanzo ulipokea ngumi nzito. Njia rahisi ya mgeni kushinda ni ashinde kwa KO
Ndio maana mchezo wa ngumi huwa siupendi.

Mtu akipigana nchini kwake hapigwi sijui kwa nini

Yani imeonekana tumepigwa eti.
 
Basi kama ni hivyo huyu jamaa hakuwa serious kabisa
Njaa mbaya, mwakinyo alisafiri siku chache kabla ya pambano bila kocha wala meneja, wale jamaa waliokuwa kwenye corner yake ni wabeba box wakibongo huko huko uk.....njaa mbaya njaa mbaya!!!!
 
Aah huyu fala kweli yani kwa matokeo ya kupigwa round ya mapema niliona hicho ni kipigo kikubwa mno kulingana na level yake.

Ilikuwa ni ngumu sana kufikiria kwa level yake anaweza pigika kirahisi hivi tena katika round fupi tu, nilipoona hili limewezekana basi nika imagine atakuwa amekutana na kifuku

Nilitegemea asingeweza kuongea kwa siku hizi mbili, na hata ingetokea namuona anaongea basi uongeaji wake utakuwa ni wa tabu sana

Na hata msosi wake kwa hili wiki nilitegemea utakuwa ni uji tu.

Lakini kwa hii clip mwanzo nilivyianza kuicheki nilidhani ilirekodiwa kipimdi ambacho anajiandaa kupanda ulingoni.
 
Aah huyu fala kweli yani kwa matokeo ya kupigwa round ya mapema niliona hicho ni kipigo kikubwa mno kulingana na level yake

Nilitegemea asinheweza kuongea kwa siku hizi mbili, na hata ingetokea namuona anaongea basi uongeaji wake utakuwa ni wa tabu sana

Lakini kwa hii clip mwanzo nilivyianza kuicheki nilidhani ilirekodiwa kipimdi ambacho anajiandaa kupanda ulingoni.
Baada ya mechi,bora angekaa kimya tu
 
Wazungu wenyewe niko nao hapa wamemaind kiseng.e huu upendeleo,kumbe haya majitu nayo maoga sana
Mwakinyo kapoteana!Kilichotokea Kuna round kengele ililia halafu mwakinyo akamchapa mzungu ngumi Kali ya shavu!Mzungu akamsogolea akamwambia maneno fulani mwakinyo ya kumind!
Baada ya hapo mwakinyo aliporudishwa kwenye kamba na mguu kuzingua na kwenda chini na kuweka goti chini,hapo ndipo Mzungu akalipiza kisasi,akamtandika ngumi kadhaa zilizoponya kisawasawa!Hilo lilikuwa kosa,alichokosea Mwakinyo ni kunyenyuka haraka haraka wakati ilitakiwa alalamike Kwa refa Ili mzungu akatwe point huku akivuta pumzi!Akaamka na Wenge,akarudishwa kwenye Kona,akapiga Tena goti!Mzungu akarudia kile kile Kwa kumtandika mtu ngumi aliye chini kwenye kamba!
Refa kaona pambano liishe!
 
Mzungu wa kawaida sana hajarusha punch yoyote ya maana.
Ngumi haziko kama unavyofikiria.Pale Kila bondia alikua na tahadhari kumsoma mpinzani wake kwa kupiga kwakushtukiza uku wakijilinda zaidi .Kwahiyo ni lazima uone sio mzuri ila nenda Youtube ukaone clip zake.pambano lingechanganya kwenye round ya nane kuendelea ndo tungeona ubora wao.
 
Back
Top Bottom