Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Huyo mzungu mwenyewe umeona ngumi zake.Sio mzungu dhaifu kiasi chakusema kambi yake inunue mechi.Hizo zitakua stori za vijiwe vya draft.
Mzungu yupo vizuri sana

Kwanza anajua kupress kwenda mbele

Kuna muda mpaka Mwakinyo akwa amamsukuma nyuma
 
Nahisi vile viatu vina telez,ndio maana mguu ukashtuka. Ila mzungu wa kawaida tena kama zile round za mwamzo kwangu Mwakinyo ndiye alikuwa vizuri.
Daah mwakinyo kawalaza watanzania muda mbovu kuangalia pambano ambalo wengi walikuwa wameweka matumaini kwake lakini naaminj kilicho mfelisha sio kuzidiwa uwezo ni some conspiracy
 
Kapoteza? Au wamepiga Fitina...

Unampigaje mtu yupo kwenye Kamba?

Unampigaje mtu amenyoosha mkono juu?
Kwanini ukubali kusogezwa mpaka kwenye kamba?
Alaf hakuwa chini,eti mpaka ukae au usondoke kabisa chini ndo inahesabika ila siyo kupiga goti kama alvokuwa amefanya
 
Arudi tu nyumbani aje akute kuna miamba mipya imeibuka. Huko ulaya anaichafua Tanzania tu sawa na Taifa staΕ•s
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mchezo ninao upenda utabaki kuwa football tu,fikiria hata nusu saa haijafika game imeisha upuuzi mtupu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…