Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Huyu Mzungu Anamtegea Mwakinyo Akiwa Amechoka

Mzungu Kakasirika Mwakinyo kampiga Ngumi ya Kichwa Kengere ikiwa Imepigwa
Kisheria hiyo imekaaje, inamaana haita hesabiwa?

Kwa hiyo mzungu kamaindi anataka apigane ngumi za ukweli ukweli na sio ngumi burudani?
 
Wataalam wa ngumi hebu tuambie kilichotokea.mbona sijaelewa.
 
Mbona sielewi hapa?
Pambano limeisha ama vipi?

Kwahiyo tumepigwa sio?
 
Jamaa miguu imelegeeea sijui kala nini anadondokadondoka hovyo

Masumbwi ndio mchezo wa pili kupendwa bongo baada ya soka...

Toka enzi za kina Mabesi, Sabuni, Matumla, Mambea na wengine kibao
 
Hili pambano Mwakinyo ashinde tu

Kuna watu wamestake pesa ya urithi Mwakinyo ashinde
 
Back
Top Bottom