Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Ohooooo[emoji38][emoji38][emoji38] asije kusema hatukumwambia
Aiseeeeee !!!unaweza kukubali mwaliko wa kifo kwa vile mwaliko huo umetoka bungeni ?
Wewe ni nabiiNimekudharau sana bwana mdogo kwa kurubuniwa kizembe sana na kukubali kuingia mkenge wa kutua ndani ya bunge la Tanzania , umebugi sana !
Bunge la Tanzania halijawahi kusaidia mwanamichezo yeyote yule mahali popote nchini Tanzania , Matumla , Cheka walipigwa laana baada ya kukubali kuingia kwenye bunge lisilopenda michezo , labda nikunong'oneze hata huyu mkimbiaji Simbu kwa kuingia kwake bungeni kishajitia mkosi ambao hatakuja tena kunyakua medali hata ya kifuu cha nazi , jaribu kutafakari kabla ya kuamua , hivi ni nani aliyewahi kukujua kutoka ndani ya bunge la Tanzania , kwani ngumi umeanza jana ? hivi mnakuwa mmepofushwa vipi hadi kujipendekeza kwa watu wasiowajali hata chembe ?
Majuto ni mjukuu .
Utukufu wote ni wa MunguWewe ni nabii
Bunge la wachawiNimekudharau sana bwana mdogo kwa kurubuniwa kizembe sana na kukubali kuingia mkenge wa kutua ndani ya bunge la Tanzania , umebugi sana !
Bunge la Tanzania halijawahi kusaidia mwanamichezo yeyote yule mahali popote nchini Tanzania , Matumla , Cheka walipigwa laana baada ya kukubali kuingia kwenye bunge lisilopenda michezo , labda nikunong'oneze hata huyu mkimbiaji Simbu kwa kuingia kwake bungeni kishajitia mkosi ambao hatakuja tena kunyakua medali hata ya kifuu cha nazi , jaribu kutafakari kabla ya kuamua , hivi ni nani aliyewahi kukujua kutoka ndani ya bunge la Tanzania , kwani ngumi umeanza jana ? hivi mnakuwa mmepofushwa vipi hadi kujipendekeza kwa watu wasiowajali hata chembe ?
Majuto ni mjukuu .
Tutaendelea kukumbusha vijanaUnabii hatimaye umetimia..hua nasema ccm ni laana kwa hii nchi yeyote anayeshiriki nao..anguko lake haliko mbali.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji38][emoji38][emoji38]Sasa Amepata muda mzuri wa kwenda kujadili na ndugai mambo ya ngumi maana hata ndugai ana muda wa kutosha
Asee unaona mbali... na sasa yametimia.. lilikuwa ni suala la muda tuNimekudharau sana bwana mdogo kwa kurubuniwa kizembe sana na kukubali kuingia mkenge wa kutua ndani ya bunge la Tanzania , umebugi sana !
Bunge la Tanzania halijawahi kusaidia mwanamichezo yeyote yule mahali popote nchini Tanzania , Matumla , Cheka walipigwa laana baada ya kukubali kuingia kwenye bunge lisilopenda michezo , labda nikunong'oneze hata huyu mkimbiaji Simbu kwa kuingia kwake bungeni kishajitia mkosi ambao hatakuja tena kunyakua medali hata ya kifuu cha nazi , jaribu kutafakari kabla ya kuamua , hivi ni nani aliyewahi kukujua kutoka ndani ya bunge la Tanzania , kwani ngumi umeanza jana ? hivi mnakuwa mmepofushwa vipi hadi kujipendekeza kwa watu wasiowajali hata chembe ?
Majuto ni mjukuu .
Utabiri umetimia lilikuwa ni sula la muda tu..Ameshajitia nuksi kwa kitendo cha kuji-attach na Usisiem, anaweza asifanikiwe kwenye mapambano mengine.
Mungu ibariki JFUtabiri umetimia lilikuwa ni sula la muda tu..