Hassan Mwakinyo: Nina magari matatu. Moja analitumia kumpeleka mbwa baharini kuogeshwa

Hassan Mwakinyo: Nina magari matatu. Moja analitumia kumpeleka mbwa baharini kuogeshwa

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
Bondia Hassan Mwakinyo amesema Kwamba hawezi kupigana kugombania gari kwasababu hana shida ya gari kwani ana magari matatu na kati ya hayo kuna moja anatumia kupeleka Mbwa wake Baharini kuogeshwa.

Huyo ndo Mwakinyo bwana Mdigo mwenye maneno yake.

Bado mnataka apigane na Twaha Kiduku?
 
Huyu mdigo Mwakinyo simuoni mbali tena ktk career yake

Dharau za watu wenye mafanikio zipo ila sio kama zake
Mkuu wadigo kwa majivuno ndo walivyo halafu pia majibu haya ni kwa ajili ya kuepuka kupigana na Twaha Kiduku kwa kusudio la Kuendelea kuilinda brand kama Bondia namba moja nchini na Africa
 
Kuwa champion ibaidi hata ndani ya nchi yako inabidi awe Undisputed hilo liko wazi
Yeah kwa super welterweight hakuna kama yeye (Mwakinyo) Ila Twaha yeye mapambano yake ni ya nani bora Yuko tayar kupunguza uzito na kuongeza uzito ili mradi aonekane bora tu mi sijawahi kumuelewa hapa ndio Maana Mwakinyo anaongea shombo Kwan daily ana strive to became the best kwenye uzito wake kwa kupigana na washindani sahihi kwa uzito wake ol ova around the globe tofauti na Twaha
 
Mkuu wadigo kwa majivuno ndo walivyo halafu pia majibu haya ni kwa ajili ya kuepuka kupigana na Twaha Kiduku kwa kusudio la Kuendelea kuilinda brand kama Bondia namba moja nchini na Africa
Nakupa list ya mabondia duniani walikuwa bora na hata ndani ya nchi yake kila atayesimmama naye ndani ya ulingo lazima amuangushe
Many Pacquiao
Floyd Mayweather
Mike Tyson
George Evanda
Anthony Joshua na wengine wengi, wanakuwa machampioni pia katika taifa lao, na uchampion unaopatikana kwa mapambano ya mabondia wa nchini kwako

Najua Mungu huwa anaupiga mwingi sana na kwa dharau na kebehi za huyu mdigo hakika simuoni mbali katika career yake
 
Sisi kazi yetu kubwa ni kutunza kumbukumbu za kauli na matendo yao. Ikifika wakati maji yamefika shingoni wasije wakasema hatuna utu wala huruma juu yao. Na mifano ipo mingi kuanzia wakina Mr Nice mpaka wakina Matumla.
Na alisha onywa juu ya kauli zake. Kumbukumbu alipo msenea mbovu yule bondia mkongwe akaenda CLOUDS kuyaweka sawa.
 
Kwa wanaolewa maana ya Brand, Mwakinyo yuko sahihi

Kiduku ni bondia poli,

Hapa ni sawa na ile kulazimisha Kiba awe mkubwa kama Mondi wakati kwa ground ni mbingu na ardhi

Namshauli kiduku akuze Brand yake, dunia imjue kwanza ndo aombe mechi na Super Star Mwakinyo.
 
Nakupa list ya mabondia duniani walikuwa bora na hata ndani ya nchi yake kila atayesimmama naye ndani ya ulingo lazima amuangushe
Many Pacquiao
Floyd Mayweather
Mike Tyson
George Evanda
Anthony Joshua na wengine wengi, wanakuwa machampioni pia katika taifa lao, na uchampion unaopatikana kwa mapambano ya mabondia wa nchini kwako
Anthony Joshua Vs Tyson Furry wote waingereza na wote Wanashikilia mikanda ya uzito wa juu duniani ndo sababu ya pambano lao Lakini hawakuahidiwa Gari chifu ila naungana na wewe juu ya majibu yake sio nzuri hayana staha lakin kama unacho why usiflex?
 
Hao ndio Wadigo, hapo akitoa majibu kwa Wapogoro...wote hawa wana vinasaba na Wazaramo...

Bila shaka mtakuwa mmeelewa hawa wote, ubaunsa wao upo kwenye ulimi, full kuchonga....
 
Back
Top Bottom