Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwa hizi kauli ni dhahiri amesha ridhika na hela ajitahidi tu awe amefanya investment maana career ya ngumi huwa haidumugi sana!Huyu mdigo Mwakinyo simuoni mbali tena ktk career yake
Dharau za watu wenye mafanikio zipo ila sio kama zake
Asije akawa anaonge huku anachomiliki ni nyumba ya mama yake aliomjengea na gari zake tatu ambazo bila shaka ni Toyota tu😅