Hassan Mwakinyo: Nina magari matatu. Moja analitumia kumpeleka mbwa baharini kuogeshwa

Hassan Mwakinyo: Nina magari matatu. Moja analitumia kumpeleka mbwa baharini kuogeshwa

Ni kawaida ya haya mambo kuendana na Hype na Majivuno ya Hapa na Pale; yanasaidia kuuza pambano na kuwapa publicity, asingesema hivyo wewe usingeleta hapa huu uzi wala mimi nisingechangia na kwa wasiomjua wangeendelea kutokumjua...

Its just a Sense of Humour....
 
Huyu Mwakinyo kuna watu akicheza nao vibaya kwenye nchi hii, hakika tunamsahau kwenye tasnia ya ngumi
ngumi hainaga longolongo sio kama mziki wa bongo fleva... huyo babu tale wa WCB hawezi kumfanya chochote mwakinyo.. atabaki kuroga na kuhujumu wasanii wa bongo fleva tu
 
ngumi hainaga longolongo sio kama mziki wa bongo fleva... huyo babu tale wa WCB hawezi kumfanya chochote mwakinyo.. atabaki kuroga na kuhujumu wasanii wa bongo fleva tu
Sawa meneja wa Mwakinyo
 
Bondia Hassan Mwakinyo amesema Kwamba hawezi kupigana kugombania gari kwasababu hana shida ya gari kwani ana magari matatu na kati ya hayo kuna moja anatumia kupeleka Mbwa wake Baharini kuogeshwa.

Huyo ndo Mwakinyo bwana Mdigo mwenye maneno yake.

Bado mnataka apigane na Twaha Kiduku?
Miswahili wakati mwingine matatizo matupu. Unatumia gari kupelekea mbwa wakati una jamaa zako kibao hawana hata baiskeli na bado unajiona mjanja au kama ulikuja na hayo magari au kuondoka nayo duniani? Tujitahidi kuwa humble ili maisha yetu yasiwakwaze wengine hata kama tuna baadhi ya powers.
 
Nakupa list ya mabondia duniani walikuwa bora na hata ndani ya nchi yake kila atayesimmama naye ndani ya ulingo lazima amuangushe
Many Pacquiao
Floyd Mayweather
Mike Tyson
George Evanda
Anthony Joshua na wengine wengi, wanakuwa machampioni pia katika taifa lao, na uchampion unaopatikana kwa mapambano ya mabondia wa nchini kwako

Najua Mungu huwa anaupiga mwingi sana na kwa dharau na kebehi za huyu mdigo hakika simuoni mbali katika career yake
Evander Holyfield
 
Back
Top Bottom